gTurn
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 2,651
- 4,151
Hujasikia tu anakwambia mara nyingi tu kwakua wewe elimu ya ki roho ni ndogo/huna ndio maana huwezi kumuelewa ni sawa na mtoto anayenyonya umwambie akusolvie hesabu za algebra hataweza kwakua hajui na anaweza akapinga kwamba hamna kitu kama hichoAngekuwepo, usingehitaji kuniambia wewe, angeniambia mwenyewe.
Ukishaona haja ya kuniambia Mungu yupo tu, ujue hayupo.