Kikao kizito sana kinaendelea muda huu, tuombe sana Mungu atuvushe salama

Yani hata hili swali ulishindwa kuuliza mpaka nikusaidie mimi kuwa unatakiwa kuuliza?

Are you that dense?
Sikuuliza simply kwakua sikulihitaji kwangu mimi naamini hakuna hizo contra sasa niulize kutafuta nini? Ndio maana nilikwambia hizo contra ni kutokana na wewe kutokujua kitabu husika na umeshindwa kutafsiri hivyo hilo sio kosa langu bro.
 
Sasa mbona umeuliza baada ya mimi kukusema huna utashi?

Unasema hukuuliza wakati ushauliza?

Unajua hata umesiamamia wapi wewe?
 
ebu nambie amepigwa wapi ya amepata madhara gani? unajua maana ya kupigwa wewe? huwezi rushiwa mabomu mia mbili na ukaweza kuyazuia yote..Urusi ana mitambo ya kisasa zaidi duniani kuzuia makombora ya S500 lakini drone zinapiga hadi moscow na zingine zinaenda mbali zaidi ya moscow unalijua hilo mzee? we unafikiri kuzuia makombora ni rahisi kama kutengeneza uji wa kupikia vitumbua?
 
ebu tupe wewe real figure za uchumi wa israel na iran
 
Haya wafanye shime kesho asubuhi na mapema misa ya kwanza tuone breaking news Aljazeera ni watu wangapi wamewahi mabikira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…