Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Ni kweli mkuu, na eneo jingine ambalo vijana tunafeli ni kwenye kufanya background check ya wenza wetu. Tunaoa kichwa kichwa bila kufatilia past ya mtu hata pale tunapojua ana past chafu tunafumbia macho kwa kufikiri atabadilika. A past is not just a past, is a pattern of habit and a true selfHii ni mojawapo ya sababu za kuibuka kwa janga la Utapeli katika Ndoa.
Ndoa zinakuwa hazidumu kwa sababu ndoa zenyewe zilitokana na influence ya Maslahi binafsi ya kiuchumi wala siyo kutokana na upendo wa dhati (natural love and affection) miongoni mwa Wanandoa.
Hakika ujumbe umefka mahala pake
Kabla hajawa Mke wako lazima alikuwa mpenzi wako.Mke wako huwezi kumhonga.
Nakubaliana na wewe, kuhudumia ni sawa ila usihudumie vilivyo nje ya uwezo wako. Vijana wengi bado ni watafutaji na vipato sio kama vinaruhusu kivile lakini wanatoboka zaidi ya uwezo wao, too risky kwa future yao.Huenda tunatofautiana, Wanaume hatuhongi ila kuhudumia.
Mpenzi wako lazima umuhudumue ili apendeze
Kama hana visofa pale sebuleni kwake, basi kabla hajakuomba unatuma kirikuu kinampelekea
Hivi huoni Kuna raha ya kuhamisha pambano kutoka kitandani kuelekea Kwenye Sofa 😜
Bila kuhudumia, unapenda nani mwingine wa kumuhudumia?
Wazee wenu ndiyo tumezeeka hivyo 🤗
Nondo Mapunyeto.Wazee mkiwasikiliza hawa motivation speakers mtaishia team Bakari Nondo. Nimekaa pale.
Ilikua two way traffic. Hata upande wa mume lazima ufanyike ujasusi kujua tabia na mienendo ya mwanamke. Sio kama saiv tunaokotana tu mitaani kila mmoja hajui historia ya mwenzakeHata zamani kulikuwa na influence ya maslahi ndo maana kabla ya kuozesha wazazi walikuwa lazima wajihakikiahie kama mkwe anauwezo wa kufanya kazi Kwa bidii na nguvu za kutosha
Hii lazima umeitoa wapi tena mkuu?Mpenzi wako lazima umuhudumue ili apendeze
Kabla hajawa Mke wako lazima alikuwa mpenzi wako.
Kumuhudumia mpenzi wako nayenyewe ni muhimu.
Hivi unajisikiaje kupishana na demu mkali anayetunzwa na Jamaa yake, wakati wewe mpenzi wako hata nguo za ndani tu hutaki kumnunulia
Sembuse hata unyunyu wa kumfanya anukie vizuri
Wazee mkiwasikiliza hawa motivation speakers mtaishia team Bakari Nondo. Nimekaa pale.
Kwenye hii dunia kama unaishi maisha ya kumridhisha mtu fulani basi wewe ni mtumwa. So hata wanaume wanaojitahidi kuwaridhisha wanawake nao ni watumwa.
Changamoto ya Vijana ni kutaka kumiliki mademu 5 wakati anakipato cha kumtunza binti mmoja.Nakubaliana na wewe, kuhudumia ni sawa ila usihudumie vilivyo nje ya uwezo wako. Vijana wengi bado ni watafutaji na vipato sio kama vinaruhusu kivile lakini wanatoboka zaidi ya uwezo wao, too risky kwa future yao.
Kwamba sio lazima, unategemea nani aje amuhudumie wakati Kei unaipiga mwenyewe?Hii lazima umeitoa wapi tena mkuu?
Kumbe kuna mahali anatoboka mifuko kwaajili ya kuhonga halafu hapa anakuja kuwapiga fix Vijana wenzake sio 🤗Kwahiyo binti kimosso ulikuwa haumpatii HELA /PESA.
Na mbona ulimpa kampuni yako aiendeshe Mtibeli star Ltd.
Wewe unahonga mambo Makubwa then unataka vijana wasitoe kitu🤗
Angalao Diamond kasawazisha upumbavu uliofanywa na Azizi Kii. Kiukweli Azizi Kii katudhalilisha sana wanaume.Wanaume dhaifu wapokee hizo Pole.
Kama Diamond hahongi,
Na wapo matajiri kibao hawahongi alafu kuna kakijana Maskini hata kwao hakabadilisha maisha ya kwao kanahonga kwa nini kasipokee pole yako
Mke pekee ndio una ulazima wa kumhudumia!! Mchumba ni hiari sio LAZIMA.Kwamba sio lazima, unategemea nani aje amuhudumie wakati Kei unaipiga mwenyewe?
Ukiwa hutaki kuhudumia uwe tayari kushea na watakaoweza kuhudumia
Kijana huyu anafikirisha SanaKumbe kuna mahali anatoboka mifuko kwaajili ya kuhonga halafu hapa anakuja kuwapiga fix Vijana wenzake sio 🤗