Kikosi Kazi Kazini (KK), Weusi jipangeni


Bado siwezi compare Weusi na Kikosi Kazi. Nadhani Kikosi Kazi wanatakiwa tu wa focus kwenye lengo lao kuu, unless kama wanataka Weusi wawe ni stepping Stone ku archive lengo lao. But, as far as diss is concerned, Pac and Big, Nas and Jay Z, na wengine wengi watu wa real Hiphop, achana na huu utumbo wenu , closed that chapter long ago. Sijaona bifu kati ya Kikosi na Weusi.
 
Katika angle gani huwezi ku-compare weusi na kk?

Kwasababu hata mimi naweza fungamana na hoja yako kua huwezi compare kikosi kazi na weusi kwa nyimbo zenye mashairi kwasababu inaeleweka kikosi wanafit ila weusi ni kinyume chake

Weusi hawawezi kutumika kama ngazi ya kikosi kazi kwasababu kwenye timu ya kikosi kazi hakuna msanii ambaye hana jina kusema ni underground kiasi cha kuhitaji promo ili ajulikane
 
Daaah! Ila ile verse ya Lord Eyez ina flow kali sana.

Kuhusu mashairi namjua J. COLE na Kendrick Lamar
 
Daaah! Ila ile verse ya Lord Eyez ina flow kali sana.

Kuhusu mashairi namjua J. COLE na Kendrick Lamar
 
Hiyo Kk kwa G Nako pekee yake tu hawatoboi, ndo ufananishe na Weusi? Khaaaaah
 
Hiyo Kk kwa G Nako pekee yake tu hawatoboi, ndo ufananishe na Weusi? Khaaaaah
G nako hawezi ku-rap mahali anapo fit ni chorus tu. Huyo nsyuka ndo kabisa unaweza ona lips zinacheza ila anachoimba hakieleweki.

Nanukuu verse ya mwisho ya azma

Nawachoresha picha, naamini hata peke yangu ningetosha kuwaficha..../
 
Ipo siku watakuelewa...unamaanisha nini
 
G nako hawezi ku-rap mahali anapo fit ni chorus tu. Huyo nsyuka ndo kabisa unaweza ona lips zinacheza ila anachoimba hakieleweki.

Nanukuu verse ya mwisho ya azma

Nawachoresha picha, naamini hata peke yangu ningetosha kuwaficha..../
Duuuuuh kabisaaaa? Ts real?
 
Waimba hip hop asili huwa wananifurahisha sana.....yaani wanajiona wanajuaaa hao
Kimsingi wanafeli na wamepitwa na wakati........wanafanya mziki kama hobby tu
Hawapati show hawana viwers hawana followers hawana airtime kwenye media kazi zao haziuziki hawana ushawishi kwa jamii wanaonekana wahuni wahuni flani

Sijui wanalinganishwa nini na weusi lakini kimsingi ni kuwakosea sana weusi kuwalinganisha na hawa masela
Hawa labda uwashindanishe wao kwa wao
 
Mond ndio maana anaendelea kupiga pesa.

Kule wenzenu wamehamia kwenye Mumble rap..watoto wanapiga pesa wanakaa pembeni.

Muda wa kuhamasisha misingi ya hip hipo umekimbia sana.
Miaka hii ya Teknolojia mambo yanakwenda kasi.

Kuna kizazi hakielewi haya mambo na ndio kikubwa zaidi kwa sasa.
 
Mtu nne dhidi ya mtu nane, dah wale jamaa walipaniki balaa..

Asanteni WEUSI umewaamsha hao watoto wapo kwao miaka nenda rudi hamna kitu.

Watoto wa Arusha wameingia mjini wanapiga ela..
 
Kikosi kazi ni group tu lile hawana future kweny hii industry watabaki kuwaimbia masela kama nyie ambao hamsapoti chochote kwenye kazi zao. Kazi kuwasisifia mitandaoni tu..
 
Kati ya interlude ya wehusi na diss ya kk ipi yenye viewes nyingi?

Umejuaje Kazi zao haziuziki kwani we ni mhasibu wao?
 
Utaskia mziki bila shobo hautoki, na hizo ngumu sana hazinogi.../

Fanya vitu flani utabamba, wasanii wenu wapo tu mtaani wamesanda.../

Wametoboa ulimi mpaka pua, mameneja wao wamewafundisha kujishaua na kujichubua.../

Msanii awe na rangi, asionekane sana atapoteza brand.../

Brand au brandina?, si wengine tunaonekana kama wavuta bangi kiaina.../

Mziki biashara mtaji mi sina, utabebeshwa madawa uende ukadakwe china.../

Umesikiliza nyimbo mpaka imeisha, hawajakuomba ushauri eti kikosi kazi badilika.../

Msanii wako akipanda stage anakatika, sa tutafanyaje naye ndio nguvu kazi ya taifa.../
 

Hii mistari si mara ya kwanza kuisikia.
Kutafuta huruma kupitia migongo ya watu kwa mwamvuli wa dis kama kitendo ma msingi wa HipHop si bongo hii.
Nikki Mbishi nilimkubali sana miaka flani ya nyuma.

Lengo la Music ni kunufaisha na kuifanya jamii kujifunza.Waendelee na mipasho wakifikiri kuwa jamii ya sasa itaelewa..ni wewe na mimi wa huko nyuma.
Hakuna cha ziada zaidi ya chuki hapo...wakimbizane na muda.Wanaopenda mambo magumu wanahesabika.

Tujifunze nyakati
 
Kati ya interlude ya wehusi na diss ya kk ipi yenye viewes nyingi?

Umejuaje Kazi zao haziuziki kwani we ni mhasibu wao?
Jiulize why hizo track zao nyingine hazijawahi kuwa na view nyingi hadi walivyowa-diss weusi?

Tafuta track inaitwa Ufalme ya Joh Makini wakati anaitoa sidhani kama kuna msanii wa kikosi kazi alikuwa ameanza muziki

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…