bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Tamaa ya mwanaume haitosheki mcheki king mswati kila mwaka anaoaKuoa wake wengi inaondoa uzinzi.
Ukiwa na mke mmoja ukaenda kulala na kimada unakua umezini, ila huyo kimada nae akiwa mke wako unakua hujazini, bado hujaelewa tu?
Yanaweza kwenda kwa bahati saaana, ila akiwepo ni uhakika na yakimshinda ataomba talaka then navuta chombo kingine kibichi kabisa kutoka tanga au uzaramoniBila mke mdogo kumchallenge bni mkubwa mambo Hayaendi smooth?
Hio ni tamaduni sheikh, unaanza kuchanganya mambo sasaTamaa ya mwanaume haitosheki mcheki king mswati kila mwaka anaoa
Kwani umeambiwa watu kuoana ni kwa ajili ya kujamiana tu?.Hao wanaume wenye nguvu za Simba za kuwamudu wake hao kwa stress hizi za maisha na kushindia chips wapo wapi siku hizi kama mke mmoja tu hoi hadi usaidizi wa mabodaboda
Hao uliowataja hawakuwa Wakristo
Dhambi ya uzinzi
Zipo ndoa za mke mmoja na mahusiano yako smooth, utaoa ili mke mdogo amchallenge bi mkubwa, na bi mdogo je ana challengiwa na nani??? Au ndio utaendelea kuoa waendelee ku challengiana??🤣🤔😊Yanaweza kwenda kwa bahati saaana, ila akiwepo ni uhakika na yakimshinda ataomba talaka then navuta chombo kingine kibichi kabisa kutoka tanga au uzaramoni
Ukikuta wote wavivu wa kupika??? Nani atawapa motisha? au utaoa mwingine na mwingine,,,,Kama bi mkubwa mvivu wa kupika atapewa motisha ya kuacha uvivu 😂😂
kwamba mmoja anashindana na mwingine. Mume anakwenda kwa mmoja, huyu mpweke anavuta mchepuko hause boy kufidia pengoBila mke mdogo kumchallenge bni mkubwa mambo Hayaendi smooth?
haijakatazwa uwe na mke moja, hata kikwete yupo na Slama tangu kitamboZipo ndoa za mke mmoja na mahusiano yako smooth, utaoa ili mke mdogo amchallenge bi mkubwa, na bi mdogo je ana challengiwa na nani??? Au ndio utaendelea kuoa waendelee ku challengiana??🤣🤔😊
Na wengi wao wanadhani kuongeza mke ni kwajili ya kusex pekee bila kujua watu huongeza wake kwa vitu vingi tu kama kumheshimisha mwanamke kwenye jamii asizeeke bila mme, kuongeza idadi ya watoto, kupunguza kuzini nje ya ndoa hasa pale mke moja akiwa safarini, n.k.Hili swali nisha uliza sana si kwa mapadri wala wachungaji wala Wasabato wala walokole hakuna mwenye jibu sahihi wakijitahidi watakuja na kamsitari kamoja nako hakatoi jibu la moja kwa moja kama ni dhambi . Kwa wakiristo hapa tulipigwa na mapokeo ya wamisionari wa kizungu kama ilivyo kwa mapadri kutokuoa
Haijui biblia huyuHao uliowataja hawakuwa Wakristo
Ni utamaduni wa nchi za ulaya yalikotokea makanisa makubwa yaliyofuata tamaduni zilizokataza ndoa za mitaalaKwanza hawa viongozi wasiooa ni sehemu gani katika Biblia inasema wasioe?
Jibu ni Hakuna...
Suala la kuoa wake wengi sijaona sehemu katika Biblia pamekataza, SIJAONA!
mwanamke akijua muda wowote waweza kumletea mwenzie basi hata tangu akiwa kwao mama yake atamuasa sana na kumpa mafundisho kuishi na mume, ila akijua milango yote imefungwa hata mafundisho anaweza kupuuzia maana anajua mpo sawa tuSio dhambi ila wanakanisa ndio wanakupa dhambi na kukutenga maana hakuna kitabu kilicho kataza kuoa mke zaid ya mmoja.kanisa waliweka sheria ili kutunza ndoa.ila kwa uharisia hawakwenda kwa undani zaidi.ndoa nyingi saiz zina shida kutokana na kuoa mke mmoja.Tofauti na wababu zetu ndoa zilitulia sana kutokana na mitaala