Kikristo ni dhambi gani unakuwa umeitenda ukiamua kuwa na wake wawili au zaidi

Kuoa wake wengi inaondoa uzinzi.

Ukiwa na mke mmoja ukaenda kulala na kimada unakua umezini, ila huyo kimada nae akiwa mke wako unakua hujazini, bado hujaelewa tu?
Tamaa ya mwanaume haitosheki mcheki king mswati kila mwaka anaoa
 
Bila mke mdogo kumchallenge bni mkubwa mambo Hayaendi smooth?
Yanaweza kwenda kwa bahati saaana, ila akiwepo ni uhakika na yakimshinda ataomba talaka then navuta chombo kingine kibichi kabisa kutoka tanga au uzaramoni
 
Hao wanaume wenye nguvu za Simba za kuwamudu wake hao kwa stress hizi za maisha na kushindia chips wapo wapi siku hizi kama mke mmoja tu hoi hadi usaidizi wa mabodaboda
Kwani umeambiwa watu kuoana ni kwa ajili ya kujamiana tu?.
Watu wapo kwenye ndoa na huyo Make mmoja na wanamaliza mwezi wahajaminiana.
Kiufupi Mwanamke mmoja anakinai.
 
Yanaweza kwenda kwa bahati saaana, ila akiwepo ni uhakika na yakimshinda ataomba talaka then navuta chombo kingine kibichi kabisa kutoka tanga au uzaramoni
Zipo ndoa za mke mmoja na mahusiano yako smooth, utaoa ili mke mdogo amchallenge bi mkubwa, na bi mdogo je ana challengiwa na nani??? Au ndio utaendelea kuoa waendelee ku challengiana??🤣🤔😊
 
Kwan Suleiman au Solomon anasemaje? Tuanzie hapo kwanza 🤒
 
Zipo ndoa za mke mmoja na mahusiano yako smooth, utaoa ili mke mdogo amchallenge bi mkubwa, na bi mdogo je ana challengiwa na nani??? Au ndio utaendelea kuoa waendelee ku challengiana??🤣🤔😊
haijakatazwa uwe na mke moja, hata kikwete yupo na Slama tangu kitambo
 
Hili swali nisha uliza sana si kwa mapadri wala wachungaji wala Wasabato wala walokole hakuna mwenye jibu sahihi wakijitahidi watakuja na kamsitari kamoja nako hakatoi jibu la moja kwa moja kama ni dhambi . Kwa wakiristo hapa tulipigwa na mapokeo ya wamisionari wa kizungu kama ilivyo kwa mapadri kutokuoa
 
Na wengi wao wanadhani kuongeza mke ni kwajili ya kusex pekee bila kujua watu huongeza wake kwa vitu vingi tu kama kumheshimisha mwanamke kwenye jamii asizeeke bila mme, kuongeza idadi ya watoto, kupunguza kuzini nje ya ndoa hasa pale mke moja akiwa safarini, n.k.
 
Kwanza hawa viongozi wasiooa ni sehemu gani katika Biblia inasema wasioe?
Jibu ni Hakuna...

Suala la kuoa wake wengi sijaona sehemu katika Biblia pamekataza, SIJAONA!
 
Ni utamaduni wa nchi za ulaya yalikotokea makanisa makubwa yaliyofuata tamaduni zilizokataza ndoa za mitaala
 
Sio dhambi ila wanakanisa ndio wanakupa dhambi na kukutenga maana hakuna kitabu kilicho kataza kuoa mke zaid ya mmoja.kanisa waliweka sheria ili kutunza ndoa.ila kwa uharisia hawakwenda kwa undani zaidi.ndoa nyingi saiz zina shida kutokana na kuoa mke mmoja.Tofauti na wababu zetu ndoa zilitulia sana kutokana na mitaala
 
mwanamke akijua muda wowote waweza kumletea mwenzie basi hata tangu akiwa kwao mama yake atamuasa sana na kumpa mafundisho kuishi na mume, ila akijua milango yote imefungwa hata mafundisho anaweza kupuuzia maana anajua mpo sawa tu
 
Back
Top Bottom