Kikwete alishindwa uongozi kama Rais na sasa ameshindwa tena kama Mstaafu

Umetiririka unono, lakini umenichanganya ulipomhusisha Mbowe wakati juzi kakemea "uuzwaji" wa Bandari!
Labda hapo tu, nitaomba unifafanulie mkuu.
 
Wewe ni kilaza sana
 
Kuna watu wanatia huruma kuwaonea huruma, yaani ww nae unasema Una bachelor sijui ya nn, aisee DPW waje tu

unaelezwa hoja za msingi unang'ang'ana kutetea hata usiyoyajua

Cool down, punguza mahaba simamia ukweli, nchi hii inakutegemeeni nyote.
 
Na wewe unakosoa mtu kaandika hoja, badala ya kujibu hoja unaandika Comment reeefu halina hoja hata moja.
 
Mbwa mzee hapewagi jina mkuu.
Hiyo ishapita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…