B-2 STEALTH BOMBER
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 4,640
- 6,422
Mungu ikikupendeza huyu tuondoleeRais mstaafu Jakaya Kikwete ametetea marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya mwaka 2024 akihoji, "Hivi ni kweli kwamba, sheria zetu zinazohusu uchaguzi ni mbaya sana kiasi kwamba haziwezi kusimamia mchakato wa uchaguzi mwaka huu?"
Ameyasema hayo leo Juni 21 katika ufungufu wa Kongamano la kitaifa la Sheria jijini Dar es Salaam.
View attachment 3377661
Anatetea ina maana kuna namna ana nufaika au labda anaogopa kufanyiwa mbaya. Huwezi jua mtu mzima huyu anajua afanyalokama siyo mbaya vile nini kilitusukuma kutumia bn 70 kwa ajili ya katiba mpya ya Warioba, kuna shida mahala. Nyerere alikuwa msitari wa mbele kubadilisha katiba kulingana na mazingira.
Hahahahahah mbona pitiku..bombii nyumbiiiNinyamaze mie, maana bado ugali na pitiku nataka sana tyuuh.
Ila wanatia hasira, bas tyuuh. Lol
Hahahahahah mbona pitiku..bombii nyumbiiiNinyamaze mie, maana bado ugali na pitiku nataka sana tyuuh.
Ila wanatia hasira, bas tyuuh. Lol
Ena wengaa, wakunyumba nene. 😂😂😂😂Hahahahahah mbona pitiku..bombii nyumbiii
Exactly!..they r wrong.
..wanapaswa kuwasikiliza wale ambao hawajaridhika na marekebisho yaliyokwisha fanyika.
..kujikusanya wenyewe wenye mtizamo mmoja ni kujidanganya na kujipotezea muda.
Ma mdee unajua pitiku.!Ninyamaze mie, maana bado ugali na pitiku nataka sana tyuuh.
Ila wanatia hasira, bas tyuuh. Lol
Kubwa linalomsumbua ni kuhakikisha mwanae anakuwa rais. Wengi wanaumia kwa hayàKikwete ameshindwa kuvaa viatu vya '' Baba wa Taifa'' au statesman kama Mzee Warioba
Kikwete anatetea masilahi ya Mkewe na Watoto wake! akijua mfumo mpya hautawapa nafasi.
Nisiijue kweli Pitiku, na ndo mboga pendwa kule kwetu, Bombii Nyumbiii.Ma mdee unajua pitiku.!
Karma italipa kila ubaya ni swala la mda tuHuyu babu alaaniwe yeye na uzao wake wote, amechangia pakubwa sn nchi yetu kuwa masikini na yeye na ukoo wake kuishi maisha ya anasa bila kujali masikini wa nchi hii.
OK sawa sawa nilipitiwa kidogoNisiijue kweli Pitiku, na ndo mboga pendwa kule kwetu, Bombii Nyumbiii.
SawaaOK sawa sawa nilipitiwa kidogo
Mzee wamemvuta kwenye mtegoWaliomweka Lissu ndani sasa wameanza kujitokeza hadharani wenyewe. Kwa kauli yake hiyo huyu Mzee anahusika 100%
Suala time"Kwa wale conservatives wanaotaka mambo yabaki hivi (uchaguzi bila katiba mpya) Kwa kuendelea kulinda wakubwa,watakaushwa kimya kimya na baada ya muda hawatokuwepo!!
JAL 1 is done 2 and 3 are next!!!
Nasubiri baada ya Bunge kuvunjwa!!
Haya mambo ya kupiga kura usiku yalitokea nchi nzima..Yaani Wasimamizi wa wapiga kura walielekezwa kupiga kura usiku na kuzitumbukiza kwenye masanduku ya kura , kwa vile sheria inaruhusu hata kama wakala hajafika watu wapige kura basi huu mwanya ulitumika sana.Pamoja na kuwa CCM waliiba lkn bado walizidiwa.Uchaguzi wa 2020 nilifika mapema saa tatu na nusu kituoni kupiga kura, nilishangazwa na uwepo wa wapigakura wachache kituoni lakini maboksi ya kupigia kura karibu yote yalikuwa yamajaa karatasi za kura.
Nilimuuliza askari aliyekuwepo pale lindoni, mbona kama fréquence ya wapigakura kama ndogo? Jamaa akajibu kwa mkato tu, watu wameamka mapema wamekuja kupiga kura, wamemaliza kazi hiyo wanaendelea na shughuli zao....
Matokeo yalipotoka ilokuwa dhahiri kuwa kulikuwa na mpango wa kuiba kura kwa kuipendelea CCM dhidi ya upinzani, kwa jinsi Rais wakati huo John Pombe Magufuli alivyofanya kazi inayopigiwa mifano hadi siku ya leo ....Sikuona kabisa sababu ya CCM na vyombo vya Dola kupanga njama za ushindi wa kishindo.
Kikwete anashangaa na kujiaminisha kuwa mambo yako sawa... Kama kweli hivyo ndivyo basi huo uchaguzi uendelee tu ili tupate matokeo yatakayoonyesha nani yuko sahihi kati ya wanaotaka Reforms zifanyike tena kabla ya uchaguzi na wale wanaodai reforms zimeishafanyika.
Huyu babu alaaniwe yeye na uzao wake wote, amechangia pakubwa sn nchi yetu kuwa masikini na yeye na ukoo wake kuishi maisha ya anasa bila kujali masikini wa nchi hii
Hatari na nusuKabisa shetani huyo