mgunga pori
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 4,092
- 4,896
Mie nadhani alisoma upepo tuu worsen thing ni kwamba constitutional assembly yote aliweka watu wake wenye kufwata anacho taka yeyeHivi Kuna anayejua ni kwa nini JK alianzisha ule mchakato wa katiba mpya? Maana wala haikuwa kwenye ilani wala mipango yao, nini kilimsukuma hasa?
Jiwe alikuwa mshirikinaHuyu 'cheka cheka' anaonesha alikuwa na bifu kali sana na Magu.
Hata haamini kwamba ameshafunga kauli na hawezi kujitetea tena.
Hata akifa lkn kikubwa jiwe katanguliaMungu mwema na yeye siasa za 2025 hatashuhudia hadi uchaguzi maandiko yanasema bado bendera iko nusu mlingoti
Soma nilichoandikaKufitiniwa kivipi? Kwani hawakwenda hao mawaziri kwa babu wa Loliondo?
Mkuu una akili zaidi ya watanzania wa kawaida!View attachment 2126981
uongozi tulionao sasa, kwenye media tunaona anamchoma na kisu kumbe anakimbia asichomwe na kisu.
tunaona tunaongozwa na gauni kumbe ni kanzu.
Na hili pia ni muhimu kulijua kutoka huko jikoni kwao.. Jenerali Ulimwengu aliwahi kuhoji hili kwenye mdahalo mmoja pale UDSMNa kwanini aliacha ukaishia njiani na mabilioni yakaliwa ?
Amali nzuri ni kuiacha Nchi iwe shamba la bibi !!!Ukiwa umeacha amali nzuri huku duniani, ukiwa umeacha hadithi nzuri ya maisha yako huku duniani basi utakuwa hadithi nzuri, na amali nzuri zitakusemea pale ambapo hautakuwa na uwezo wa kusema... (Mzee Ruksa, 2021)
Kwani wewe mgeni hapa Yerusalam?Jk kwa sasa anaonekana sana kwenye media.
Sijui kuna jambo gani nyuma ya pazia.
Tatizo lako ni nini? Kwani hakwenda kwa Babu??Acha uzwawa wewe.
Kasema aliekuwa waziri wake kamwambia anatengeneza barabara sasa kipindi ni Rais waziri wake wa ujenzi si alikuwa magu?
Kajifunze maana ya amali kwanza...Amali nzuri ni kuiacha Nchi iwe shamba la bibi !!!
Kikwete ni mwema? Hakuna mwema endelea kujidanganya! Tena mwanasiasa!Ndio tujitahidi kuishi na watu vizuri hata tukiondoka tukumbukwe kwa wema...
Kazungumzia baraza lake la mawaziri walivyoamua kutumia kikombe cha babu ila wewe na wenzako kama wewe mnataka vita na JK mkitumia kisingizio kwamba waziri wake mmoja ni marehemu.Acha uzwawa wewe.
Kasema aliekuwa waziri wake kamwambia anatengeneza barabara sasa kipindi ni Rais waziri wake wa ujenzi si alikuwa magu?
Amen to that!!Mungu mwema na yeye siasa za 2025 hatashuhudia hadi uchaguzi maandiko yanasema bado bendera iko nusu mlingoti
Kila mtu atakufa.Mungu mwema na yeye siasa za 2025 hatashuhudia hadi uchaguzi maandiko yanasema bado bendera iko nusu mlingoti
Kila mtu atakufa.Amen to that!!
Especially puppetsKila mtu atakufa.
Kampiga dongo la kiaina mwendazaKweRais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DR.Jakaya Mrisho Kikwete ametia ya moyoni akiwa msibani kwa John Malecela kuwa wakati wa kikombe cha babu wa Loliondo wamo Mawaziri katika Serikali yake walienda kunywa kikombe hicho na amesema kuwa wengine walikuwa wakimwambia wanatengeneza barabara.
Na ameenda mbali zaidi kwa kusema kuwa katika jamii ya kitanzania wapo wanaoamini kuwa kama mganga akimwambia anakuloga huamini moja kwa moja na akiambiwa kuwa ameoteshwa na kitu chochote huamini hivyo hivyo.
Aidha hiki ni kipande cha clip alichosema msibani hapo.
Na ameenda mbali zaidi kwa kusema kuwa katika jamii ya kitanzania wapo wanaoamini kuwa kama mganga akimwambia anakuloga huamini moja kwa moja na akiambiwa kuwa ameoteshwa na kitu chochote huamini hivyo hivyo.Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DR.Jakaya Mrisho Kikwete ametia ya moyoni akiwa msibani kwa John Malecela kuwa wakati wa kikombe cha babu wa Loliondo wamo Mawaziri katika Serikali yake walienda kunywa kikombe hicho na amesema kuwa wengine walikuwa wakimwambia wanatengeneza barabara.
Na ameenda mbali zaidi kwa kusema kuwa katika jamii ya kitanzania wapo wanaoamini kuwa kama mganga akimwambia anakuloga huamini moja kwa moja na akiambiwa kuwa ameoteshwa na kitu chochote huamini hivyo hivyo.
Aidha hiki ni kipande cha clip alichosema msibani hapo.
Kwani kuna nini kinaendelea mkuu.Kwani wewe mgeni hapa Yerusalam?
Sawa sijabisha ila aliposema huyo waziri alitumia kigezo cha "tunajenga barabara"moja kwa moja huyu ni magu maana ndie aliekuwa kitengo cha ujenziKazungumzia baraza lake la mawaziri walivyoamua kutumia kikombe cha babu ila wewe na wenzako kama wewe mnataka vita na JK mkitumia kisingizio kwamba waziri wake mmoja ni marehemu.