mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Nawacheki tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli. Hata hivyo, msingi wa maswali yangu ni je ilikuwaje JK alimpangia ulinzi JPM wakati yeye, JK, naye anapangiwa ulinzi na PSU. Ni hapo tu nilitaka kupata ufafanuzi.Kipindi akiwa waziri wa ujenzi, JPM alikua na ulinzi tofauti na mawaziri wengine
Eulogy inaongelea kuhusu uongozi wake na marehemu anatajwa kama anecdote on his story it’s all about J.K and how he handled the loliondo saga.
Naanza kuona traits of narcissism kwake ni umuhimu wa J.K kwenye ili taifa auna kifani as far as he is concerned kama wananchi amjajua bado...
Anapenda kujiongelesha sana na hii ni dhambi ya ubaya aliyofanya Kwa mwenzie Kwa kushirikiana na janabi wanajua nini kinawatokea huko walipoEulogy inaongelea kuhusu uongozi wake na marehemu anatajwa kama anecdote on his story it’s all about J.K and how he handled the loliondo saga.
Naanza kuona traits of narcissism kwake ni umuhimu wa J.K kwenye ili taifa auna kifani as far as he is concerned kama wananchi amjajua bado...
Hapendwi kabisa angekuwa anaelewa ni bora akae kimyaVery smart observation, huyu mzee ana matatizo sana . Tena sio kidogo, he just want to be relevant unfortunately majority hawana time nae.,
Kwenye hii clip hapo juu, umesikia akiwataja mawaziri wanne? are you sure? Kataja waziri wa ujenzi, waziri wake mwngine yupi alomtaja hapo juu?Mbona amewataja mawaziri kama wanne hivi, wewe umehisi ni jiwe tu ndiyo anaefitiniwa hapo?
Hiyo clip mleta mada kaamuaa kuikata kwa sababu zake binafsi..ila original clip kikwete amesikika akiwataja mawaziri wengine akiwemo na Lukuvikwenye hii clip hapo juu, umesikia akiwataja mawaziri wanne? are you sure? Kataja waziri wa ujenzi, waziri wake mwngine yupi alomtaja hapo juu?
Watu wa usalama ndio walimzuia.hakua na namna.na ndio hao wanaomtesa mbowe leo.Na kwanini aliacha ukaishia njiani na mabilioni yakaliwa ?
Mantiki ya Eulogy ni kumwongelea marehemu katika matendo yake sio kumtaja tu wakati unajiongelea wewe.Kisa kaguswa msukuma mwenzio anayeungua motoni sahzi kwa matendo yake maovu,,
Kila mtu hufanya makosa. Kumuandama mtu ni kitu kibaya.Hata yeye Jakaya alienda kunywa kikombe
Kwani Janabi alikuwepo Mzena?Anapenda kujiongelesha sana na hii ni dhambi ya ubaya aliyofanya Kwa mwenzie Kwa kushirikiana na janabi wanajua nini kinawatokea huko walipo