Kikwete atoa kauli kuhusu kikombe cha Babu wa Loliondo msibani kwa Malecela. Kauli hiyo inasemekana kumlenga aliyekuwa Waziri katika Serikali yake

Kikwete atoa kauli kuhusu kikombe cha Babu wa Loliondo msibani kwa Malecela. Kauli hiyo inasemekana kumlenga aliyekuwa Waziri katika Serikali yake

Kipindi akiwa waziri wa ujenzi, JPM alikua na ulinzi tofauti na mawaziri wengine
Ni kweli. Hata hivyo, msingi wa maswali yangu ni je ilikuwaje JK alimpangia ulinzi JPM wakati yeye, JK, naye anapangiwa ulinzi na PSU. Ni hapo tu nilitaka kupata ufafanuzi.
 
Eulogy inaongelea kuhusu uongozi wake na marehemu anatajwa kama anecdote on his story it’s all about J.K and how he handled the loliondo saga.

Naanza kuona traits of narcissism kwake ni umuhimu wa J.K kwenye ili taifa auna kifani as far as he is concerned kama wananchi amjajua bado...

Kisa kaguswa msukuma mwenzio anayeungua motoni sahzi kwa matendo yake maovu,,
 
Eulogy inaongelea kuhusu uongozi wake na marehemu anatajwa kama anecdote on his story it’s all about J.K and how he handled the loliondo saga.

Naanza kuona traits of narcissism kwake ni umuhimu wa J.K kwenye ili taifa auna kifani as far as he is concerned kama wananchi amjajua bado...
Anapenda kujiongelesha sana na hii ni dhambi ya ubaya aliyofanya Kwa mwenzie Kwa kushirikiana na janabi wanajua nini kinawatokea huko walipo
 
Asiye mgonjwa haitaji tabibu huyu mzee hajaumwa amshukuru Mungu kejele za uzima hizo kila kitu ni Iman Mungu ibariki nchi yetu wape uzima watanzania waishi kwa amani na upendo
 
Mbona amewataja mawaziri kama wanne hivi, wewe umehisi ni jiwe tu ndiyo anaefitiniwa hapo?
Kwenye hii clip hapo juu, umesikia akiwataja mawaziri wanne? are you sure? Kataja waziri wa ujenzi, waziri wake mwngine yupi alomtaja hapo juu?
 
kwenye hii clip hapo juu, umesikia akiwataja mawaziri wanne? are you sure? Kataja waziri wa ujenzi, waziri wake mwngine yupi alomtaja hapo juu?
Hiyo clip mleta mada kaamuaa kuikata kwa sababu zake binafsi..ila original clip kikwete amesikika akiwataja mawaziri wengine akiwemo na Lukuvi
 
Kisa kaguswa msukuma mwenzio anayeungua motoni sahzi kwa matendo yake maovu,,
Mantiki ya Eulogy ni kumwongelea marehemu katika matendo yake sio kumtaja tu wakati unajiongelea wewe.

Marehemu alipokuwa NIMR alifanya abc akatengeneza kitengo abc kikashugulikia swala ili na lile hiyo legacy mpaka leo ipo tulikuwa hakuna kitengo. Nikiwa kama raisi alikuja anataka kufanya abc kakwama nikamwezesha baada ya hapo akafanya maajabu haya watanzania tujivunie bila Mwele isingekuwa etc about Mwele.

Sio nilimjua nikamteua niliongea nae kwenye kikombe cha babu, baada ya hapo story ya kikombe inaendelea kwa umashuhuri wake yeye msimuliaji jinsi alivyoongea na wataalamu, jinsi mawaziri wake walivyokunywa dawa, jinsi alivyoamuru ipimwe na kuona sio sumu, alivyomua yeye kuachia tu watu waendelee kutumia kwa sababu ni jambo baya kuua hope and so forth with his actions. What had that got to do with Dr Mwele.

Mwele akafukuzwa akanijia akateuliwa WHO the current president of WHO is my friend namjua tangia akiwa waziri wa mambo ya nje tunaongea sana; what has that got to do with Mwele.

It’s me me me
 
Hata yeye Jakaya alienda kunywa kikombe
Kila mtu hufanya makosa. Kumuandama mtu ni kitu kibaya.

Hawa kuna kitu wanakipanda kwenye mioyo ya watu.

Hatugawanyiki ng'o si kwa kabila wala itikadi ya vyama na dini. Tutabakiwa kuwa wamoja, kila kitu kitapita
 
Machukimachuki tu ndio yanaendekezwa hapa. Au kuna shida kwenye uelewa na matumizi ya lugha ya kiswahili? Mbona huo ni mzaha mzuri, wenye ucheshi na bashasha tele. Huyu mzee hutamweza alikwishanyanyuliwa na Mwznyezi Mungu.
 
Kwa kweli kipindi chake jk alikuwa hajisikii amani kabisa Mana alikuwa anapondwa kwenye majukwaa, kanisani na misikitini. Kila akiinua kinywa tu jk analo. Mpaka akagikia hatua ya kumwambia anawashwa washwa.

Mwache na yeye apondwe Mana ndo alivhoasisi. Zaidi ya hapo yeye ndo alikuwa mpondaji mkuu. Sijui ulikuwa ushamba wa madaraka au uwezo mdogo. Kwanza lini mwalimu akawa na uwezo wa kuongoza watu
 
Hayatuhusu mambo ya Kikombe
magu.jpg
 
Back
Top Bottom