Kikwete atoa kauli kuhusu kikombe cha Babu wa Loliondo msibani kwa Malecela. Kauli hiyo inasemekana kumlenga aliyekuwa Waziri katika Serikali yake

Kikwete atoa kauli kuhusu kikombe cha Babu wa Loliondo msibani kwa Malecela. Kauli hiyo inasemekana kumlenga aliyekuwa Waziri katika Serikali yake

Kwa hiyo JK anataka kutuaminisha huwa haendi kwa waganga?
 
Kwa nini wewe na Mzee wako mko obssesed sana na Magu (RIP) aliwakosea nini ? Mbona yeye wala hakuwa na time na ninyi atleast sikumsikia isitoshe alishafariki hata sisi Waswahili kwetu mtu akishafariki huwa hata kabla ya kuzika tunauliza kama kuna mtu alikuwa na shida na marehemu aseme tufunge ukurasa, hata kama aliwakosea si mmeshamshinda ameenda bado mnataka nini ? Kama ni nchi kawaachia kila kitu, bado nini ?
Magu aliwatukana sana wastaafu wenzake, na kuonyesha hawakufanya lolote la maana toka nchi ipate uhuru. Yaani yeye tu ndo alikuwa wa maana. Mtu akisema tu anaambiwa "anawashwawashwa"...Sasa kazi anayo.
 
Shida ya wazee wetu hawa nikukosa uzalendo tu,. Wana ukwasi wa kutisha but it seems hawaliziki, huwa hawaumii kuona mamillion ya watu ni masikini? Wanaishi nyumba za tope? They're illiterate? Mzee Huwa inaniuma sana kuona waafrika ndio specie pekee duniani tunaishi maisha ya ajabu ukitoa hao wazungu weusi wachache kina JK, ilifikia sehemu niliamua kusoma papers nyingi sana kuhusu brain science,

I thought labda wazungu their brain structure ipo. tofauti na sisi, kitu pekee nime observe it's how they nurture their people, nutrition, experiences, education (quality) but there's is nothing genetically wanachotuzidi, the arguments can only be made to the Ashkenazi Jews (ndio wanaaminika kuwa na akili kuliko wanadamu wote), somehow I can agree kuna scientific evidence to that .

Still, we are as better genetically as the white people,. As japanese etc, tunakosea tu kwenye nurture, that's the only reason our IQ are significantly low compared to global average.

Kwa mfano, nimesoma papers kibao wanasema kabisa vyakula wanavyokula wa mama afrika wakiwa wajawazito vimejaa wanga as opposed to protein and fat, it significantly impair our brain structure, ndio maana unaona European union maziwa ya watoto lazima yawe na DHA, a kind of lipids which is very crucial in building a smart brain. Ndio maana unaona wahaya, na watu wanaokaa mwambao wa ziwa Victoria, pwani wana uwezo mkubwa kiakili ya kula samaki na samaki ana DHA ya kutosha esp fatty fish. Japanese are Said to be smart sababu ya utamaduni wa kula samaki!
Acha kamba mzee...watu wenye highest IQ wapo Mashariki ya mbali huko..hakuna cha Ashkenazi Jews wala nini..
Screenshot_20220223-081758_1.jpg
 
Itafutika kadiri watu wanavyojua ukweli. Legasi inayopandwa kimaigizo mara mabulungutu ya hela barabarani,mara kuozesha kwa kuku haina maisha marefu. Njia ya mwongo ni fupi.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Kwa hawa viongozi milenda ambao kila mmoja anajua historia zao za nyuma na ufisadi wao?? Nani kati yao anaweza kujinasibu kuwa ni msafi kuliko Magufuli aliekufa?? Kiongozi yupi wa kusemea ubaya wa Magufuli ambaye yeye hana mabaya??

Legacy ya yule mtu haitafutika kwa maneno-maneno na mipasho, kazi ifanyike (vitendo).
 
Mbona uko kwa Wahaya na mwambao wa ziwa kumejaa umaskini wa kutopea?!
Swali lako hili naweza andika hata paper ya pages 100 just to give you a scientific perspective as to why? Ila ntakujibu kwa ufupi, kuwa na akili nyingi haina maana unatoka kwenye umasikini automatically, there are lot of smart people, maybe geniuses, wapo wanaendesha bodaboda, wanabeba mizigo just bcz hawakupata nafasi to demonstrate their potential including quality education, hata kama wazazi wako wote ni rocket scientists, and you're genetically predisposed/ advantaged (assortative mating) utahitaji kusoma na kwenda shule ili uwe kama wazazi wako or even better.

Just ask yourself this, kwann viongozi wengi (Marais) marekani wamesoma vyuo bora? Kwann wamarekani wanamsemo the best among us should lead us? the answer (s) to that is very simple, they recognize and appreciate the importance of IQ, hauwezi kuwa na kiongozi IQ yake ni ndogo ukategemea miujiza, he'll be easily compromised and the worst part will make poor decisions that technically reflects his/her IQ.

You can't think like Eistein while your IQ is below average, it needs a special brain to come with solutions to complex problems, Einstein asingekuja na special theory of general relativity without a special brain. Waafrika ni watu pekee tusiotambua umuhimu wa akili. Ndio maana utasikia "umesoma hauna kazi imekusaidia Nini"? Imagine that!! Just so you know Einstein wenyewe alisota sana kupata kazi na brilliant mind aliyokuwa nayo. Hadi hapo umeona a relationship btn a smart brain and development? A smart brain does not automatically translate into.
..🤗🤗, kuna certain interventions zinahitajika!!
 
Kwa hawa viongozi milenda ambao kila mmoja anajua historia zao za nyuma na ufisadi wao?? Nani kati yao anaweza kujinasibu kuwa ni msafi kuliko Magufuli aliekufa?? Kiongozi yupi wa kusemea ubaya wa Magufuli ambaye yeye hana mabaya??

Legacy ya yule mtu haitafutika kwa maneno-maneno na mipasho, kazi ifanyike (vitendo).
Kiukweli msafi hayupo. Ila kuna ile kula na 'vipofu'.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
JPM ni Maji usipoyanywa utayaoga. Bado wanammiss Shujaa,aliwaweza kweli kweli
 
Shika adabu yako.

Nyerere alikuwa mwalimu
Mwinyi alikuwa mwalimu
Magufuli alikuwa mwalimu
Majaliwa alikuwa mwalimu
Jenista mhagama alikuwa mwalimu.

List ya walimu walioshika madaraka makubwa nchini ni ndefu bwana mdogo
Hao uliowataja wote ndo wametuharibia nchi.
 
Ulitumia kipimo gani kujua Wahaya na watu wa mwambao wa Ziwa wana uwezo mkubwa wa akili?
Vipi kuhusu watu wa mwambao wa Pwani( Bagamoyo, Pangani, Lindi, Mtwara) ambako nako huko samaki zinapatikana? Nao wana uwezo mkubwa wa akili?
Swali lako hili naweza andika hata paper ya pages 100 just to give you a scientific perspective as to why? Ila ntakujibu kwa ufupi, kuwa na akili nyingi haina maana unatoka kwenye umasikini automatically, there are lot of smart people, maybe geniuses, wapo wanaendesha bodaboda, wanabeba mizigo just bcz hawakupata nafasi to demonstrate their potential including quality education, hata kama wazazi wako wote ni rocket scientists, and you're genetically predisposed/ advantaged (assortative mating) utahitaji kusoma na kwenda shule ili uwe kama wazazi wako or even better.

Just ask yourself this, kwann viongozi wengi (Marais) marekani wamesoma vyuo bora? Kwann wamarekani wanamsemo the best among us should lead us? the answer (s) to that is very simple, they recognize and appreciate the importance of IQ, hauwezi kuwa na kiongozi IQ yake ni ndogo ukategemea miujiza, he'll be easily compromised and the worst part will make poor decisions that technically reflects his/her IQ.

You can't think like Eistein while your IQ is below average, it needs a special brain to come with solutions to complex problems, Einstein asingekuja na special theory of general relativity without a special brain. Waafrika ni watu pekee tusiotambua umuhimu wa akili. Ndio maana utasikia "umesoma hauna kazi imekusaidia Nini"? Imagine that!! Just so you know Einstein wenyewe alisota sana kupata kazi na brilliant mind aliyokuwa nayo. Hadi hapo umeona a relationship btn a smart brain and development? A smart brain does not automatically translate into.
..[emoji847][emoji847], kuna certain interventions zinahitajika!!
 
Kiukweli msafi hayupo. Ila kuna ile kula na 'vipofu'.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Kila kiongozi hula na vipofu wanaomuhusu, Magu alikuwa na circle yake vivyohivyo kwa Kikwete.

Hata sasa SSH anakula na vipofu wake na sio lazima kila mtu awe mnufaika, wewe sasahivi hapo ulipo KUINGIA kaa Samia kumekupa unafuu gani wa maisha??
 
Back
Top Bottom