Kikwete: Lowassa ameacha alama zitakazokumbukwa daima

Hivi mmeshawahi kujiuliza kwanini JKs wote walimkata Lowassa kwenye mbio za Urais bila ya kumsikiliza ?
 
Muamini Mungu pekee, binadamu wabinafsi sana.
 
Naona we ni wa juzi tu! JK alimzidi EL?
 
Unamuabudu mno kikwete kila mada inayomuhusu kikwete lazima utokee kumtetea na kumkuza hivi ujabali wa kikwete ni upi?
 
Yaani jana kikwete kaongea sifa kibao za Lowassa wakati anahojiwa na wanahabari , comments za wananchi sasa nadhani leo ndio maana wakati wa kuaga kufunga mdomo hajaongea kabisa..
 
Pithole country, mtu mmoja,binadamu mmoja anaweza kumthibiti mtu asiwe President wa nchi!,halafu mnalalama mna demokrasia ndani ya chama, it's craze, na usiwe msemaji wangu,jk hakua maarufu au presidential material kwa upande wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…