Kikwete: Lowassa ameacha alama zitakazokumbukwa daima

Kikwete: Lowassa ameacha alama zitakazokumbukwa daima

Nimerudia rudia hotuba za JK katika msiba wa Lowasa, hakuna mahali kasema alienda kumsalimia Lowasa akiwa anaumwa.

Ni Lowasa mdoye alimpa JK urais, Lowasa anaumwa JK hajatia mguu hospitali.

Je marafiki zako unawaamini kiasi gani, na umejifunza nini kwa usaliti aliofanyiwa Lowasa?
Hivi mmeshawahi kujiuliza kwanini JKs wote walimkata Lowassa kwenye mbio za Urais bila ya kumsikiliza ?
 
Nimerudia rudia hotuba za JK katika msiba wa Lowasa, hakuna mahali kasema alienda kumsalimia Lowasa akiwa anaumwa.

Ni Lowasa mdoye alimpa JK urais, Lowasa anaumwa JK hajatia mguu hospitali.

Je marafiki zako unawaamini kiasi gani, na umejifunza nini kwa usaliti aliofanyiwa Lowasa?
Muamini Mungu pekee, binadamu wabinafsi sana.
 
Hakuna aliyemjua Lowassa na hakuwa na umaarufu. Tishio la Kikwete llikuwa Malecela na Cleopa Msuya. Lowassa alipata umaarufu mkubwa kipindi Cha Mkapa na mwaka 2005 alijua asingeweza kushindana na Kikwete ndio maana akakubali kuungana na Kambi ya Jakaya
Naona we ni wa juzi tu! JK alimzidi EL?
 
Wale wote waliokuwa wanasema JK hakuwa na ubavu wa kumkata Lowassa ndani ya CCM na kumzuia nje ya CCM ndio hao hao sasa wanamtukana JK kwa kuwa na ubavu huo na kuutumia

JK no jabali hasa la Siasa ndani ya Nchi yetu lakini hakuwa na roho mbaya ya kushughulika na utajiri wako
Unamuabudu mno kikwete kila mada inayomuhusu kikwete lazima utokee kumtetea na kumkuza hivi ujabali wa kikwete ni upi?
 
Yaani jana kikwete kaongea sifa kibao za Lowassa wakati anahojiwa na wanahabari , comments za wananchi sasa nadhani leo ndio maana wakati wa kuaga kufunga mdomo hajaongea kabisa..
 
Eti Lowassa ndiye aliyempa Urais Kikwete! Utakuwa mzaliwa wa miaka ya 2000. Jakaya tayari alishakuwa kwenye mstari wa Urais toka miaka ya mwanzo ya tisini na hapakuwa na mtu aliyekuwa anamzidi umaarufu na kukubalika kama Jakaya ndani na nje ya CCM. Mtu pekee aliyeweza kumdhibiti Kikwete kuchukua urais mwaka 1995 alikuwa Hayati baba wa Taifa. Lowassa na Rostam waliona fursa na sio kumpa Urais.

Na sio lazima aseme alienda kumtazama. Nje ya siasa hao watu waliendelea kuwa Marafiki na wanajua a faulo walizochezeana.
Pithole country, mtu mmoja,binadamu mmoja anaweza kumthibiti mtu asiwe President wa nchi!,halafu mnalalama mna demokrasia ndani ya chama, it's craze, na usiwe msemaji wangu,jk hakua maarufu au presidential material kwa upande wangu
 
Back
Top Bottom