Hivi mmeshawahi kujiuliza kwanini JKs wote walimkata Lowassa kwenye mbio za Urais bila ya kumsikiliza ?Nimerudia rudia hotuba za JK katika msiba wa Lowasa, hakuna mahali kasema alienda kumsalimia Lowasa akiwa anaumwa.
Ni Lowasa mdoye alimpa JK urais, Lowasa anaumwa JK hajatia mguu hospitali.
Je marafiki zako unawaamini kiasi gani, na umejifunza nini kwa usaliti aliofanyiwa Lowasa?