Kikwete mbona Magufuli alipofariki dunia hukumuelezea kirefu kama kwa Membe?

Acha kuingilia maisha ya watu, jifunze kutofautisha mtu binafsi na cheo. Kikwete na Membe huenda walijuana tangu utotoni, huyu mtu wako wamekutana uzeeni sasa unataka adimulie kuwa yeye Kikwete na Magufuli waliwinda njiwa pori pamoja! Haiwezekani.

Ninakushauri tiatia maji haraka ili nawe uje ielezewe kwa kirefu, japo utata utatokea kama wewe ni Mkurya kweli au Mjaluo. Acha kutamani vya wenzako.
 
Kuna wakati unajibu kwa munkari kama mkeo kakunyima uchi...tulia tulia Matola jibu bila mihemuko
 
Hakuna nafsi ambayo haitaonja mauti, kujadili hili ni kunipotezea muda na sina muda huo.

Alamsiki.
 
Hakumuelewa kama nyinyi ambavyo hamjamuelewa.

angeishia kwenye statement ya kuwa "watu wazuri hawafi", ingemaanisha ulichokisema. Lakini alienda mbele na kusema "ndio maana JK yuko hapa anadunda na kuwataja watu kadhaa walio hai"

Nilifikiri wewe upo vizuri upstairs, kumbe na wewe ni hamna kitu. statement rahisi hivi unashindwa kui analyze, ama unafikiri mimi ni mmoja wa maboya unaobishana nao huku kila uchwao?
 
Haijalishi yupo hai au kafariki, mtu mzuri hafi
 
Kama ulipata kusoma vijarida vya Sani zamani kulikuwa na maborn town na Bush stars.

Hicho ndicho kinachotusumbuwa sasa hivi hapa JF, Kikwete na Membe na Lowasa ni Watoto wa mjini, haingewezekana hata kidogo hata kama wangesoma pamoja watu hawa kuwa na urafiki na mtu mshamba kama Magufuli.

Kwahiyo hapa Kikwete amempoteza Collogue wake ambao hata sisi binafsi tunao watu hao ambao ni bora kuliko hata ndugu zako wa damu.

Kinachoendelea hapa ni kujifyatuwa akili tu kwa Watoto wa marehemu na kujizima data.
 
It is very simple, mwendazake kabla ya mwendazake 'recently' hakuwa kitengo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…