Kikwete mbona Magufuli alipofariki dunia hukumuelezea kirefu kama kwa Membe?

Acheni fitina kwani lazima kumsema mtu siameamua Kuja kitofauti ila hali ni Ile Ile mbaya tu ya jpm ukikata kutongozwa down immediately without option na wote walikufa Kwa corona
 
Kikwete alipitia changamoto zipi za kimaisha na Magufuli?

Usilolijuwa ni usiku wa kiza.
Nyingi sana maana alikwangua na hela zake, aliuza yale majumba akabakiza moja tu! Mzee wa Nsoga alipumua JPM alipokufa
 
Kwani nasema uongo jamani? --- in Magu's voice
Mufti ni kati ya watu wachache waliopata nafasi ya kwenda kuongea nae hospital akiwa mgonjwa siku za mwisho wa uhai wake.
Habari ya msikiti wa Kinondoni unaijua bila shaka.
Ila Mufti sijui kwa nini alikua hamshauri mshkaji wake, au nae alikua anaogopa
 
Ila Mufti sijui kwa nini alikua hamshauri mshkaji wake, au nae alikua anaogopa
Yule jamaa alikuwa anaogopwa hadi na rafiki zake.
Alikuwa mbabe kiasi flani alipitiliza.
 
Iddi Amin alikuwa ni mtu mwema sana, usisikilize propaganda za kujazwa ujinga.
Nakumbuka, alipokuwa uhamishoni, alidai Waganda walikuwa wanampenda sana, tena kuliko Museveni. Akasema, yeye alikuwa anaweza kusafiri mkoa mmoja mpaka mwingine kwa gari, tena akiendesha yeye mwenyewe, bila hofu. Museveni hawezi! Ukatili uliokuwa ukihusishwa naye, alidai ilikuwa ni propoganda za Tanzania, zilizoasisiwa na Mwalimu Nyerere.

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Hata Idd Amin Dada alikuwa na marafiki itakuwa JPM kwa lipi akose rafiki?
Labda ungesema hata shetani anamarafiki, kuhusu Idd Amin hatujui sana ubaya wake maana kwa miaka hii shutuma zake zinautata sana wapo wanaomtetea na wapo wanaomuona ni mtu mbaya.
 


Hata hivyo Pole sana Kaka Mtu JMK.jon

Nonsense
 
Sasa ulitaka aandike kuwa yeye na JPM walipitia misukosuko mbalimbali lakini wakapeana moyo, wakati siyo kweli?

Aliyefariki jana ni Membe. Anayeongelewa kwa sasa ni Membe. Yamhusuyo marehemu Magufuli yalisemwa alipofariki. Kwa nini kila msiba au kila tukio la kiongozi yeyote likalinganishwe na Magufuli? Binadamu yeyote ni tofauti na mwingine japo mnaweza kufanya kazi mmoja, mnaweza kuishi mazingira ya aina moja, lakini mtabakia kuwa ni watu tofauti.

Tunamwomba Mungu awajalie moyo wa subira wote walioumizwa na msiba huu ili wayapokee mapenzi ya Mungu kwa moyo wa unyenyekevu na imani.

Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema na huruma, tunaomba umjalie pumziko jema ndugu yetu Bernard Membe.
 
Kila mtu na mtuwe.

Ikumbukwe kuna wakati ilienea kuwa hawa ni ndugu,
 
Hakumpenda Magu
Kuna story inamhusu inapita chini kwa chini
 
Membe ni ndugu yake,huyo Magufuli ni ndugu yako wewe ndio muelezee kirefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…