Kikwete mbona Magufuli alipofariki dunia hukumuelezea kirefu kama kwa Membe?

Ha ha hahaha! Nachoweza kusema tu nj kuwa watanzania wajjnga sana; wapumbavu.....mbururaz
 
Mlishangilia kifo cha jpm, haya mzoga wenu huo hapo[emoji23][emoji23]
Wahi hospitali. Utukane, ufurahie, ushangilie, wala haitabadilisha chochote.

Magufuli, Membe, Mkapa na ndugu zetu wengi tunaowasindikiza kila siku, wamemaliza safari yao ya hapa Duniani. Kila mmoja jina lake litaendelea kunenwa kwa yale waliyoyaishi wakati wa uhai wao.

Kama ulikiwa muuaji, mwizi, mporaji, mcheshi, katili, mwema, mpole, mpatanishi, mwenye hekima, kichaa, au mengine yoyote, kwayo jina lako litanenwa.
 
Kwani hili Bunge bandia ni nani alilitengeneza?
 
Aniaminiye japo akifa, anaishi milele.
 
Kama Makamba alimaanisha kifo cha mwili, basi atakuwa aliropoka kiasi cha kupuuzwa. Ni sawa mtu akuambie kuwa watu wazuri hawazaliwi, wanazuka tu. Utajua kuwa ni upuuzi.

Kauli hiyo ingeweza kuwa na uzito kama kweli kunngekuwa na watu ambao hawafi. Hapo ndiyo tungeweza kujadili kama hawa ambao miili yao haifi ni kwa sababu ni watu wema sana au kuna sababu nyingine.
 
Ona mawazo ya mtu duni kama huyu utadiscuss naye nini?

Mtu duni anawaza uchi, stupid kabisa.
Kuna watu, yale yaliyopo katika vicjwa na mioyo yao, huyafanya kuwa ya watu wote.

Watu wenye akili ndogo huwaza ngono maana huko hakuhitaji akili, ndiyo maana hata konokono, licha ya kutokuwa na ubongo, wanajamihiana, kwa sababu tendo hilo halihitaji akili.
 
Ila wewe huwa ni chizi sana na kama
Familia yako imekula asala kuwa na mtu tahira kama wewe
 
Kisa ni mkristu ndio hawezi kuwa na marafiki
Punguza udini wewe bibi mchawi
Kwahiyo Lowasa na Membe ni waislamu?

Hata kama Faiza Foxy ni mdini kwa yuko sahihi na namuunga mkono.

Mimi ni Mkatoliki kama Magufuli lakini namchukulia ni kama next to Lucifer.
 
Kwahiyo Lowasa na Membe ni waislamu?

Hata kama Faiza Foxy ni mdini kwa yuko sahihi na namuunga mkono.

Mimi ni Mkatoliki kama Magufuli lakini namchukulia ni kama next to Lucifer.
Kwanza si mnamsiba nyie nendeni mkaomboleze fisadi lenzenu limekufa
 
Ila wewe huwa ni chizi sana na kama
Familia yako imekula asala kuwa na mtu tahira kama wewe
Ninyi wenye akili kibaba hakuna mnachojua zaidi ya kutukana.

Mtu unashindwa hata kuandika sentensi 2 kwa Kiswahili halafu bado unaona una uwezo hata wa kutoa hoja!! Bahati mbaya Elimu ya watu wazima imefutwa siku hizi, lakini unaweza kuwatafuta hata watoto wa darasa la pili, watakufundisha kuandika, kuhesabu na kusoma vizuri. Wapo watoto wa darasa la pili wengi wenye uwezo mzuri zaidi ya wa kwako katika kuandika, na huenda hata katika kufikiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…