Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Kanali Gadafi alimpoteza mjomba Amini mpaka akaacha uafrika na kuukumbatia uarabuSi alikuwa mwenezi wa Afrika mashariki wa ile dini ya Mungu mwenye mguu mmoja, jicho Moja na mikono miwili ya kulia, akidanganywa na jinga Moja lililokuwa linalipia wanaume mahari ?
Kama Iddi Amini alikua ni Mtu mwema,Nini chanzo cha Vita ya Kagera!!? Unataka kusema Nyerere ndiyo hakua Mtu mwema hadi akamvamia Amini na kumchapa!!?Iddi Amin alikuwa ni mtu mwema sana, usisikilize propaganda za kujazwa ujinga.
Ikiwa gadafi alikuwa mjinga kwa kulipia wanaume mahari kama usemavyo je wewe unakuwa nani? Salaam kwa wenzio wa UpindeSi alikuwa mwenezi wa Afrika mashariki wa ile dini ya Mungu mwenye mguu mmoja, jicho Moja na mikono miwili ya kulia, akidanganywa na jinga Moja lililokuwa linalipia wanaume mahari ?
Ilikuwaje hii?Kanali Gadafi alimpoteza mjomba Amini mpaka akaacha uafrika na kuukumbatia uarabu
Ndugu yangu uwezo wangu mkubwa najielewaNinyi wenye akili kibaba hakuna mnachojua zaidi ya kutukana.
Mtu unashindwa hata kuandika sentensi 2 kwa Kiswahili halafu bado unaona una uwezo hata wa kutoa hoja!! Bahati mbaya Elimu ya watu wazima imefutwa siku hizi, lakini unaweza kuwatafuta hata watoto wa darasa la pili, watakufundisha kuandika, kuhesabu na kusoma vizuri. Wapo watoto wa darasa la pili wengi wenye uwezo mzuri zaidi ya wa kwako katika kuandika, na huenda hata katika kufikiri.
Kwanza elewa hizi page zinaendeshwa na wasaidi wao, Pili ratiba ya mazishi imeshatoka, wazee wa Lindi wana jambo lao, tutegemee nini baada ya VAR ya wazee? Tukae kitako kwa kutulia.
Bi Hajati katika ubora wako!!Usinambie kuwa sasa hivi ni Rais wa malaika.
ndio maana tulitawaliwa na bado tunatawaliwa sababu tunapenda wanaosapoti wizi na huo ndo mwanya mabeberu wanatumia , tuitastuka muda umeenda sanaHivi mtu anawezaje kuwa na urafiki na bwana yule?
bado yeyeKatika Mkeka wako nimetafakari mara mbili mbili hasa pale Ulipoandika nanukuu...."Mimi (Wewe) na Marehemu Membe kwa nyakati tofauti mlipitia Changamoto (Misukosuko) ya Kimaisha ila mkapeana moyo".... mwisho wa Kukunukuu.
Binafsi kama GENTAMYCINE imenibidi nianze kutafuta kama kuna Mkeka wako wowote ule uliuandika pale Rais wa Awamu ya Tano Dk. John Pombe Joseph Magufuli alipofariki dunia tarehe 17 Machi, 2021 ila sijaupata hadi hivi sasa.
Hata hivyo Pole sana Kaka Mtu JMK.
Aniaminiye japo akifa, anaishi milele.
Ye akachukue mzoga wake apeleke huukoo akautunze Bahari itaendelea kutulizwa Mungu yupo kaziniKatika Mkeka wako nimetafakari mara mbili mbili hasa pale Ulipoandika nanukuu...."Mimi (Wewe) na Marehemu Membe kwa nyakati tofauti mlipitia Changamoto (Misukosuko) ya Kimaisha ila mkapeana moyo".... mwisho wa Kukunukuu.
Binafsi kama GENTAMYCINE imenibidi nianze kutafuta kama kuna Mkeka wako wowote ule uliuandika pale Rais wa Awamu ya Tano Dk. John Pombe Joseph Magufuli alipofariki dunia tarehe 17 Machi, 2021 ila sijaupata hadi hivi sasa.
Hata hivyo Pole sana Kaka Mtu JMK.
Kule uarabuni kwenye Arab spring nako walimtimua, alikuwa anataka eti awatawale, ikaabidi aelekeze nguvu Afrika akazuga anataka umoja wa Afrika kumbe ya kidini. Aliwachanguwa maafisa masoko wengi Afrika wa hoja za oic na mahakama ya kafhiKanali Gadafi alimpoteza mjomba Amini mpaka akaacha uafrika na kuukumbatia uarabu
Kwanza si mnamsiba nyie nendeni mkaomboleze fisadi lenzenu limekufa
Mingine is loading........Mlishangilia kifo cha jpm, haya mzoga wenu huo hapo[emoji23][emoji23]
Siku akidondoka aliyeitoa, JF patachafuka.Lakini hii kauli itawatafuna watu miaka nenda rudi
Kigogo system wote walikuwa adui zake na huu mzoga ni mmoja waoHivi nyie wafuasi na chawa wa Magufuli mnaamini adui wa Jiwe alikuwa Membe , kwanini ?
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Tunasikia jpm aliongozwa Sala ya Toba ila huyo mzoga gang wa Jana hajaomba atakuwa anashugulikiwa kuzimu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huko hakuna ndoto, ni reality tu. Ndoto zinaishia hapahapa kwenye uhai.
Kwahiyo vyuo vyote vimejengwa na Magu?Msilolijua ni moja tu. Magufuli alikuwa anatumikia kusudi la Mungu.
Hivi Nikuulize kwa Bunge hili la Tanzania Kuna siku litafanya maamuzi ya kuliletea maendeleo Taifa?
Kuna siku litatengeneza sheria yenye maslahi ya wananchi bila wao kufikiri maslahi yao kwanza?
Msijidangane baada ya Magufuli na miradi yake kukamilika Hakuna atakayekuja na wazo jipya
Hayupo Sio CCM wa CHADEMA.
CCM wanawaza kuuana tu mtu akipita mbele ya maslahi yake.
Wewe mwenyewe umeona Membe ameondolewa mapema asije akamsumbua Mama kesho kutwa.
Mwenye ufahamu anaelewa
Hizi ni karata za awali zinachezwa
Wewe ni mmoja wa wapumbavu wanaoligharimu taifa hili. Bunge la uchafu wa Magufuli hili unategemea nini hapo? Aliyeliharibu bunge ni huyo shetani wenu aliyepumzishwa na kirusi.Msilolijua ni moja tu. Magufuli alikuwa anatumikia kusudi la Mungu.
Hivi Nikuulize kwa Bunge hili la Tanzania Kuna siku litafanya maamuzi ya kuliletea maendeleo Taifa?
Kuna siku litatengeneza sheria yenye maslahi ya wananchi bila wao kufikiri maslahi yao kwanza?
Msijidangane baada ya Magufuli na miradi yake kukamilika Hakuna atakayekuja na wazo jipya
Hayupo Sio CCM wa CHADEMA.
CCM wanawaza kuuana tu mtu akipita mbele ya maslahi yake.
Wewe mwenyewe umeona Membe ameondolewa mapema asije akamsumbua Mama kesho kutwa.
Mwenye ufahamu anaelewa
Hizi ni karata za awali zinachezwa
Tafsiri ya familia yako yule kenge hakumanisha ivoHuo msemo una maana kubwa sana kwa mwenye kuuelewa, kwa ufupi maana ya huo msemo ni kuwa mtu mzuri anafariki, hafi, kwa maana legacy yake haifi, inaendelea kubaki hai.
Legacy ya mtu siyo majengo au mali alizoacha, ni mema yepi aliyoyaacha ambayo yanadumu.
Lugha zina utamu wake.