Kikwete: Mzee Manji kabla hajafa alinikabidhi mwanae Yusuf Manji nimlee!

Huyu mzee ni muongo na tapeli haswa, kwanini hakusema wakati yupo hai na alipofilisiwa na Makonda?
Kama mama'ko muongo uanfikiri woye ni waongo?

Watoto ambaoi hamna heshima na baba za wenzenu inamaanisha kuwa umetokea nyumba ambayo kila mwanamme anaeingia kwenue mama'ko anakwambia "mwamkie baba'ko".

Utaipata wapi heshima ya baba kwa malezi namna hiyo?

Ficha upumbavu wako usifiche hekima zako.

Akuelezee wewe nani?
 
Marehemu huwa wanasingiziwa mambo mengi Sana sababu hawako hai

Mswahili awe mlezi wa mtoto muhindi ?

Kikwete Kwa Mamlaka ninayojipa mwenyewe kama namtunuku Mzee Jakaya Mrisho Kikwete PhD ya Uongo uliokubuhu

Mnaojua kingereza naonba tafsiri ya hiyo PhD nimemtunuku Kwa lugha ya kiingereza
 
Ajira zilianza kuwa ngumu kuanzia 2010 .
Mikopo elimu ya juu kabla yake hakukuwa na asilimia au nani alisoma shule gani. Wote waliokuwa na sifa za kujiunga na chuo waliopata udahiri walikuwa wanapata mikopo 100%.
Hakukuwa na kulipa mikopo huku wabunge waliotunga sheria ya bodi ya mikopo elimu ya juu walijiondoa wasilipe.
Wakajiongezea malipo bungeni.

Namkubali sana kwa kujenga vyuo vikuu vipya na kuruhusu vyuo vingi binafsi na kutoa mikopo kwa wanafunzi wa vyuo binafsi.
 
Huyu mzee ni muongo na tapeli haswa, kwanini hakusema wakati yupo hai na alipofilisiwa na Makonda?
Jamani wahindi tunawajua
Mswahili gani asiyewajua wahindi na walivyo wabaguzi Kwa waswahili ?

Yaani Kikwete Mkwere mswahili apewe Kazi ya kulea mtoto wa kihindi

Hili tukio linatakiwa kurekodiwa kwenye Guinness Book of Rekods kuwa kuna mwafrika mswahili tena Mkwere alishawahi pewa Kazi ya kulea mtoto wa muhindi kama mwanawe wa kuzaa

Dunia nzima ya waafrika ijue hivyo kuwa Tanzania kuna mwafrika alipewa Kazi na Mzazi muhindi ya ubaba wa kulea mtoto wa Muhindi
 
Sasa tumeshajua nani alikuwa facilitator kwenye ufisadi mkubwa kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii iliyokuwa ikimhusisha manji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…