Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
BADO KINA LISU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni jiniazi hata Alibeti Einsiteini akasome wallahi.Hawa wazee wanajisafisha kwa umma kupitia gazeti la kibaraka wao Said kubenea
Ni mjinga na mpumbavu tu atakayeamini Rais samia anaweza kufanya mambo haya bila baraka za kikwete na kinana samia hawezi kufanya kitu chochote nchi hii
Samia anaweza kuteua mkuu wa wilaya bila kumuuliza kikwete lkn sio hili la mkataba unaoelekea kuuza nchi kwa waarabu
Tunajua bila kikwete,samia asingekuwa makamo wa Rais
Hawa wazee wanajisafisha ili baadae wawe wamejiwekea kinga ya kutokuhisishwa.
TANGANYIKA inaangamizwa
Hivi unaelewa kwanini Kubenea anashitakiwa ?Safi sana, iwe fundisho kwa wengine.
Hivi unaelewa kwanini Kubenea anashitakiwa ?
Michezo ya Yule Mzee utaijua baada ya miaka kupitaHilo gazeti lilitumika sana kumshambulia Mh Lowasa enzi za awamu ya 4, hao wanafahamiana vyema, kuna mchezo tu hapa.
Wewe Tiktok umfundishe Siasa Colonel Abdul Rahman Omar Kinana Mhitimu toka Havald, Mpiganaji wa vita ya Msituni Msumbiji, Kanali mstaafu, Waziri wa Ulinzi, Mwenyekiti wa Kampeni za CCM kwa 25 years, Katibu Mkuu wa CCM kwa miaka 7, Mmiliki wa meli kadhaa za usafirishaji kati ya Afrika na Mashariki ya mbali n.kHawa wazee wastaafu kama wana hekima na busara wangekuwa kimya tu haina haja ya kuhangaika na wahariri wa habari ni kujivunjia heshima tu.
Mdada upo kumbe?Kumekuchaaaaaa
Watunga maneno.. mtazidi kuisoma namba...
Kazi iendeleee..
😃😃😃😃😃
Acha kuwafagilia ni WA kawaida Sana mbona sijui wabongo huwa mnafeli wapi?mnapenda kusifia watu pasipo sababu zote za msingiWewe Tiktok umfundishe Siasa Colonel Abdul Rahman Omar Kinana Mhitimu toka Havald, Mpiganaji wa vita ya Msituni Msumbiji, Kanali mstaafu, Waziri wa Ulinzi, Mwenyekiti wa Kampeni za CCM kwa 25 years, Katibu Mkuu wa CCM kwa miaka 7, Mmiliki wa meli kadhaa za usafirishaji kati ya Afrika na Mashariki ya mbali n.k
hapo bado tena sijataja Uzoefu wa Jakaya
punguzeni Ujuaji vijana
Haya mambo yote yapo calculated kwa malengo maalum
Ni suala la muda Bro!Unaamini hao wazee wanaweza kwenda court?
Umesahau ya maembe?
Mdada upo kumbe?
Nita kucheckKwa Neema na Rehema za Mwenyezi Mungu nipo
Tutajie mmoja kwny ukoo wenu mwenye robo ya CV za hawa watuAcha kuwafagilia ni WA kawaida Sana mbona sijui wabongo huwa mnafeli wapi?mnapenda kusifia watu pasipo sababu zote za msingi
Tanzania ni yetu sote sio ya mtu wala ukoo hayo mambo ya kuwafanya watu untouchable muache kwa lipi hasa walilonalo au walilofanyia Taifa zaidi ya ushuzi tu na kuendelea kufanya Taifa duni hapo mwanamme mzima umekomaa unafagilia hao wazee wasiokuwa na jipya eti wako kwenye mission mtaendelea kuwa mazuzu mpaka Yesu arudi kwa kusifia ujinga
Apumzishwe na nani huyo? angepumzushwa MUSIBA.Huyu Kubenea aliponea chupuchupu macho yake kupofuka kabisa kwa kumwagiwa tindikal katika awamu ya nne.
Sasa kwa uchokozi huu mwingine kwa watu wale wale, Kubenea anaweza kupumzishwa kabisa.
Etii ?!! Kumbe kunafukuta chini kwa chini. ??!!Kwani uongo?
Iko kazi !
Lissu ,Kibatala na Mwakabusi watafanya nini? Mahakamani sio jazba,hisia bali evidenceHawa wastaafu tulikuwa tunawasubiri Sana waingie kwenye 18. Acha tukutane mahakamani watakutana na akina Lissu, Kibatala, Mwabukusi na wengineo
Duh 🙄 Hatari sana !Ifike wakati tuzungumze ukweli ,hasa kwenye masuala kama haya ambayo yanagusa wananchi moja kwa moja ,bila kujali utofauti uliopo kati yetu iwe kidini ,kikabila na kiitikadi. Kwanza kabisa lazima kila mtu aelewe kwamba nnachotaka kuzungumza hapa kitu ambacho wengi hawakijui, kiasi kwamba mimi mwenyewe sijui nataka kuongea nini.
Asanteni sana.