Kikwete na Kinana wamtaka Kubenea na MwanaHalisi Kuomba Radhi kwa madai ya kuwalipa wanaopinga Mkataba wa Bandari

Kikwete na Kinana wamtaka Kubenea na MwanaHalisi Kuomba Radhi kwa madai ya kuwalipa wanaopinga Mkataba wa Bandari

Hawa wazee wanajisafisha kwa umma kupitia gazeti la kibaraka wao Said kubenea

Ni mjinga na mpumbavu tu atakayeamini Rais samia anaweza kufanya mambo haya bila baraka za kikwete na kinana samia hawezi kufanya kitu chochote nchi hii

Samia anaweza kuteua mkuu wa wilaya bila kumuuliza kikwete lkn sio hili la mkataba unaoelekea kuuza nchi kwa waarabu

Tunajua bila kikwete,samia asingekuwa makamo wa Rais
Hawa wazee wanajisafisha ili baadae wawe wamejiwekea kinga ya kutokuhisishwa.

TANGANYIKA inaangamizwa
Wewe ni jiniazi hata Alibeti Einsiteini akasome wallahi.

Kikwete amekaba kila kona.

The architect wa karibu kila kitu kisiasa katika nchi hii. Siku akiondoka nchi itapumua!
 
Hivi unaelewa kwanini Kubenea anashitakiwa ?

Mahakama Mbeya yatupilia mbali kesi ya Bandari walalamikaji kukata rufaa​

d2dcd05a-5648-4a28-a656-735d5d587e67.jpg

Humphery Mgonja
BBC Field Producer
Mbeya

BBCCopyright: BBC
Mahakama Kuu nchini Tanzania hii leo imetupilia mbali kesi iliyokuwa inapinga mkataba (IGA) wa uwekezaji wa bandari baina ya serikali ya Tanzania na falme ya Dubai.
Kesi hiyo iliyofunguliwa katika mahakama kuu kanda ya Mbeya na walalamikaji wanne ambao walidai mkataba huo unaenda kinyume na matakwa ya Katiba.
Akisoma Hukumu hiyo Jaji Dastan Ndunguru amesema baada ya jopo la majaji wa tatu kusikiliza pande zote mbili mahakama imeamua kuwa hoja zote sita hazina mashiko hivyo kuamua kuwa Mkataba wa IGA hauna dosari za kufanya usitekelezwe.
 
Hilo gazeti lilitumika sana kumshambulia Mh Lowasa enzi za awamu ya 4, hao wanafahamiana vyema, kuna mchezo tu hapa.
Michezo ya Yule Mzee utaijua baada ya miaka kupita

Kesi yenyewe imefunguliwa Uchagani

kwa hiyo kwa mujibu wa Kubenea Jakaya anapinga kuuzwa kwa Bandari

kwa hiyo Jk na Chadema kwny hili wako pamoja
 
Hawa wazee wastaafu kama wana hekima na busara wangekuwa kimya tu haina haja ya kuhangaika na wahariri wa habari ni kujivunjia heshima tu.
 
Ni vyema wakaonga tu kwa maslai mapana ya taifa hili
 
Hawa wazee wastaafu kama wana hekima na busara wangekuwa kimya tu haina haja ya kuhangaika na wahariri wa habari ni kujivunjia heshima tu.
Wewe Tiktok umfundishe Siasa Colonel Abdul Rahman Omar Kinana Mhitimu toka Havald, Mpiganaji wa vita ya Msituni Msumbiji, Kanali mstaafu, Waziri wa Ulinzi, Mwenyekiti wa Kampeni za CCM kwa 25 years, Katibu Mkuu wa CCM kwa miaka 7, Mmiliki wa meli kadhaa za usafirishaji kati ya Afrika na Mashariki ya mbali n.k

hapo bado tena sijataja Uzoefu wa Jakaya

punguzeni Ujuaji vijana

Haya mambo yote yapo calculated kwa malengo maalum
 
Acha kuwafagilia ni WA kawaida Sana mbona sijui wabongo huwa mnafeli wapi?mnapenda kusifia watu pasipo sababu zote za msingi

Tanzania ni yetu sote sio ya mtu wala ukoo hayo mambo ya kuwafanya watu untouchable muache kwa lipi hasa walilonalo au walilofanyia Taifa zaidi ya ushuzi tu na kuendelea kufanya Taifa duni hapo mwanamme mzima umekomaa unafagilia hao wazee wasiokuwa na jipya eti wako kwenye mission mtaendelea kuwa mazuzu mpaka Yesu arudi kwa kusifia ujinga
 
Tutajie mmoja kwny ukoo wenu mwenye robo ya CV za hawa watu
 
Huyu Kubenea aliponea chupuchupu macho yake kupofuka kabisa kwa kumwagiwa tindikal katika awamu ya nne.

Sasa kwa uchokozi huu mwingine kwa watu wale wale, Kubenea anaweza kupumzishwa kabisa.
Apumzishwe na nani huyo? angepumzushwa MUSIBA.
 
Hawa wastaafu tulikuwa tunawasubiri Sana waingie kwenye 18. Acha tukutane mahakamani watakutana na akina Lissu, Kibatala, Mwabukusi na wengineo
Lissu ,Kibatala na Mwakabusi watafanya nini? Mahakamani sio jazba,hisia bali evidence
 
Ifike wakati tuzungumze ukweli ,hasa kwenye masuala kama haya ambayo yanagusa wananchi moja kwa moja ,bila kujali utofauti uliopo kati yetu iwe kidini ,kikabila na kiitikadi. Kwanza kabisa lazima kila mtu aelewe kwamba nnachotaka kuzungumza hapa kitu ambacho wengi hawakijui, kiasi kwamba mimi mwenyewe sijui nataka kuongea nini.
Asanteni sana.
Duh 🙄 Hatari sana !
 
Back
Top Bottom