Nandagala One
JF-Expert Member
- Aug 19, 2020
- 1,913
- 2,286
Hivi wewe Huwa unatoa wapi vichekesho hivi??🤔🤔🤣🤣🤣🤣🚴🚴🚴Samia ni Profesa wa siasa na mama wa Uchumi wa kiliberali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi wewe Huwa unatoa wapi vichekesho hivi??🤔🤔🤣🤣🤣🤣🚴🚴🚴Samia ni Profesa wa siasa na mama wa Uchumi wa kiliberali.
Siasa na Uchumi wa KUUZA MALIASILI na Mali za Tanganyika??🤣🤣🤣🤔🤔 kweli UJINGA NI MZIGO 🤣🤣🚴🚴Samia ni Profesa wa siasa na mama wa Uchumi wa kiliberali.
Ameshafanikiwa hakika. Serikali imetumia mabilioni ya walipakodi katika hili. Hatimaye imetimia.Hakuna anayeamini!
Kikwete kwa Miaka kumi alishindwa kuizima CHADEMA na ilibaki kidogo Sana 2015 Akabidhi ofisi kwa upinzani.
Akaingia Magufuli, yeye ndiye akatumia zaidi mabavu na alishakiri hadharani anaenda kufuta upinzani kabla ya 2020 lakini alipata upinzani Mkali Sana kuwahi kutokea katika nchi hii.
Akashindwa!
Akaingia Samia, mwanamke ambaye kikawaida kulingana na jamii zetu mtu yeyote angeweza kumdharau.
Lakini Samia yeye nafikiri alisoma Mchezo wa Kikwete na Magufuli. Kikwete alitumia Njia peaceful kuikabili CHADEMA huku Magufuli akitumia Mabavu. Samia yeye style yake ni kudokoa huku kidogo huku kidogo yaani nguvu kidogo akili kidogo.
Uhakika uliopo ni kuwa CHADEMA imeshakatwa kichwa, Wachache wanajua ishaanguka. CCM wametulia kama sio wao, wananyonyoa manyoya tuu.
Yaani CHADEMA iliyoshindwa na wanaume Leo ndio hii Mwanamke kaipiga. Aiseeh!
Haya!
Mtu pekee ambaye angeweza kuiua CDM kutokana na ujinga wake na ukatili wake alikuwa JPM, lakini kilichotokea ni yeye kufa.Hakuna anayeamini!
Kikwete kwa Miaka kumi alishindwa kuizima CHADEMA na ilibaki kidogo Sana 2015 Akabidhi ofisi kwa upinzani.
Akaingia Magufuli, yeye ndiye akatumia zaidi mabavu na alishakiri hadharani anaenda kufuta upinzani kabla ya 2020 lakini alipata upinzani Mkali Sana kuwahi kutokea katika nchi hii.
Akashindwa!
Akaingia Samia, mwanamke ambaye kikawaida kulingana na jamii zetu mtu yeyote angeweza kumdharau.
Lakini Samia yeye nafikiri alisoma Mchezo wa Kikwete na Magufuli. Kikwete alitumia Njia peaceful kuikabili CHADEMA huku Magufuli akitumia Mabavu. Samia yeye style yake ni kudokoa huku kidogo huku kidogo yaani nguvu kidogo akili kidogo.
Uhakika uliopo ni kuwa CHADEMA imeshakatwa kichwa, Wachache wanajua ishaanguka. CCM wametulia kama sio wao, wananyonyoa manyoya tuu.
Yaani CHADEMA iliyoshindwa na wanaume Leo ndio hii Mwanamke kaipiga. Aiseeh!
Haya!
Kwa hiyo ugomvi wa Mbowe na Lissu ni kutokana na Pesa?Maza ana mwaga pesa haswa
Magufuli alisema chadema itakufa kabla haja toka madarakani.Hakuna anayeamini!
Kikwete kwa Miaka kumi alishindwa kuizima CHADEMA na ilibaki kidogo Sana 2015 Akabidhi ofisi kwa upinzani.
Akaingia Magufuli, yeye ndiye akatumia zaidi mabavu na alishakiri hadharani anaenda kufuta upinzani kabla ya 2020 lakini alipata upinzani Mkali Sana kuwahi kutokea katika nchi hii.
Akashindwa!
Akaingia Samia, mwanamke ambaye kikawaida kulingana na jamii zetu mtu yeyote angeweza kumdharau.
Lakini Samia yeye nafikiri alisoma Mchezo wa Kikwete na Magufuli. Kikwete alitumia Njia peaceful kuikabili CHADEMA huku Magufuli akitumia Mabavu. Samia yeye style yake ni kudokoa huku kidogo huku kidogo yaani nguvu kidogo akili kidogo.
Uhakika uliopo ni kuwa CHADEMA imeshakatwa kichwa, Wachache wanajua ishaanguka. CCM wametulia kama sio wao, wananyonyoa manyoya tuu.
Yaani CHADEMA iliyoshindwa na wanaume Leo ndio hii Mwanamke kaipiga. Aiseeh!
Haya!
Kumbe?Kwa hiyo ugomvi wa Mbowe na Lissu ni kutokana na Pesa?
AmkaUchaguzi ujao ni kheri asitie mguu maana haijawahi Kutokea mfano wake.
Tusubiri
Haaa, nafuatilia miradih aliyoianzisha na kuiendeleza, Ukweli mama pamoja na chama utawala, wana haki ya kujivunia. Ile Ilani ya CCM 2020, inasimiwa vizuri. Mambo ya Chadema naona fresh tu, wote wanaweza kua wenyekiti. 1. Mwenyekiti wa kudumu na 2 mwenyekiti wa mpito.Hakuna anayeamini!
Kikwete kwa Miaka kumi alishindwa kuizima CHADEMA na ilibaki kidogo Sana 2015 Akabidhi ofisi kwa upinzani.
Akaingia Magufuli, yeye ndiye akatumia zaidi mabavu na alishakiri hadharani anaenda kufuta upinzani kabla ya 2020 lakini alipata upinzani Mkali Sana kuwahi kutokea katika nchi hii.
Akashindwa!
Akaingia Samia, mwanamke ambaye kikawaida kulingana na jamii zetu mtu yeyote angeweza kumdharau.
Lakini Samia yeye nafikiri alisoma Mchezo wa Kikwete na Magufuli. Kikwete alitumia Njia peaceful kuikabili CHADEMA huku Magufuli akitumia Mabavu. Samia yeye style yake ni kudokoa huku kidogo huku kidogo yaani nguvu kidogo akili kidogo.
Uhakika uliopo ni kuwa CHADEMA imeshakatwa kichwa, Wachache wanajua ishaanguka. CCM wametulia kama sio wao, wananyonyoa manyoya tuu.
Yaani CHADEMA iliyoshindwa na wanaume Leo ndio hii Mwanamke kaipiga. Aiseeh!
Haya!
Kumbe?
Kwamba Mzee Mbowe anatakiwa kuendelea kuwa Mwenyekiti ili aweze kurejesha pesa alizokuwa anampa Lissu?Kumbe?
Na kaiangusha kupitia kwa Tundu Lisu. Na kama Tundu angepata mafao yake ya matibabu, wala tusingesikia kelele zote hiziHakuna anayeamini!
Kikwete kwa Miaka kumi alishindwa kuizima CHADEMA na ilibaki kidogo Sana 2015 Akabidhi ofisi kwa upinzani.
Akaingia Magufuli, yeye ndiye akatumia zaidi mabavu na alishakiri hadharani anaenda kufuta upinzani kabla ya 2020 lakini alipata upinzani Mkali Sana kuwahi kutokea katika nchi hii.
Akashindwa!
Akaingia Samia, mwanamke ambaye kikawaida kulingana na jamii zetu mtu yeyote angeweza kumdharau.
Lakini Samia yeye nafikiri alisoma Mchezo wa Kikwete na Magufuli. Kikwete alitumia Njia peaceful kuikabili CHADEMA huku Magufuli akitumia Mabavu. Samia yeye style yake ni kudokoa huku kidogo huku kidogo yaani nguvu kidogo akili kidogo.
Uhakika uliopo ni kuwa CHADEMA imeshakatwa kichwa, Wachache wanajua ishaanguka. CCM wametulia kama sio wao, wananyonyoa manyoya tuu.
Yaani CHADEMA iliyoshindwa na wanaume Leo ndio hii Mwanamke kaipiga. Aiseeh!
Haya!
Mtoa mada uko sahihi, hebu mwangalie huyu anavyoongea visivyoeleweka kama amepinduka na boti baharini.....huu ni ushahidi wa uyasemayo...kama Chadema imeangushwa kwa fedha basi mjue ni fedha za umma.
..kama Chadema imeangushwa kwa mabavu ya vyombo vya dola navyo ni mali ya umma.
..Samia kwa kutumia vibaya madaraka aliyopewa na umma ameiangusha Chadema.
..mimi nadhani hatupaswi kumsifia Raisi anayetumia vibaya madaraka yake.
Na kaiangusha kupitia kwa Tundu Lisu. Na kama Tundu angepata mafao yake ya matibabu, wala tusingesikia kelele zote hizi
Penye Uzia penyeza Rupia....Hakuna anayeamini!
Kikwete kwa Miaka kumi alishindwa kuizima CHADEMA na ilibaki kidogo Sana 2015 Akabidhi ofisi kwa upinzani.
Akaingia Magufuli, yeye ndiye akatumia zaidi mabavu na alishakiri hadharani anaenda kufuta upinzani kabla ya 2020 lakini alipata upinzani Mkali Sana kuwahi kutokea katika nchi hii.
Akashindwa!
Akaingia Samia, mwanamke ambaye kikawaida kulingana na jamii zetu mtu yeyote angeweza kumdharau.
Lakini Samia yeye nafikiri alisoma Mchezo wa Kikwete na Magufuli. Kikwete alitumia Njia peaceful kuikabili CHADEMA huku Magufuli akitumia Mabavu. Samia yeye style yake ni kudokoa huku kidogo huku kidogo yaani nguvu kidogo akili kidogo.
Uhakika uliopo ni kuwa CHADEMA imeshakatwa kichwa, Wachache wanajua ishaanguka. CCM wametulia kama sio wao, wananyonyoa manyoya tuu.
Yaani CHADEMA iliyoshindwa na wanaume Leo ndio hii Mwanamke kaipiga. Aiseeh!
Haya!
Inashangaza sana.......tatizo kubwa zaidi ni Wasomi wa Kitanzania, waandishi mahiri kabisa, wanapoamini kwamba Maraisi wetu wanapaswa kusifiwa wanapotumia vyombo vya dola kuhujumu demokrasia na mifumo ya uchaguzi.
..Na tukienda mbali kidogo, tujaribu kuangalia nchi nyingine zilipoongozwa na viongozi wanawake kama India, wakati wa Indira Ghandi, au Uingereza, wakati wa Margareth Thatcher. Je, ni mambo gani kina mama hao walisifiwa nayo?
..Hivi kweli sifa ya kudhulumu haki ni jambo la kumsifia mwanamke wa Kitanzania, tena ambaye ni kiongozi?