Kikwete na Magufuli walishindwa kuingusha CHADEMA lakini Rais Samia ndani ya miaka minne ameshamaliza anachofanya ni kuinyonyoa manyoya

Samia ni Profesa wa siasa na mama wa Uchumi wa kiliberali.
Siasa na Uchumi wa KUUZA MALIASILI na Mali za Tanganyika??πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€”πŸ€” kweli UJINGA NI MZIGO 🀣🀣🚴🚴
 
Ameshafanikiwa hakika. Serikali imetumia mabilioni ya walipakodi katika hili. Hatimaye imetimia.
 
Mtu pekee ambaye angeweza kuiua CDM kutokana na ujinga wake na ukatili wake alikuwa JPM, lakini kilichotokea ni yeye kufa.
 
Mkuu umewaza kama Mimi na pia namshauri ili ajenge Ccm ya Matarajio atakapoondoka 2030 Mkutano wa Januari 18-19 ajaliwe haya Maono amteue Makamu wake kutoka Kanda ya Ziwa.


Mlale Unono πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ™
 
Sisi supervisor wetu ofsn kuna nguo akivaaga huwa hatusikiliz anachosema kichwa cha chini kibaya SanaπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Magufuli alisema chadema itakufa kabla haja toka madarakani.

Ni kwamba Samia anamalizia tu
 
sikiaga tu ,gerezani miezi 8 kivuli KESI ya ugaidi chairman lazima adate
 
Huyu bibi alifanikiwa pia kuwa Rais bila kur...
2. Alifanikiwa kumlamba kichwa Jiwe.
3. Amefanikiwa kuifanya unguja kuwa Dubai
4. Amefanikiwa kuiuza Bandari , Ngorongoro,KIA, Madini
 
Haaa, nafuatilia miradih aliyoianzisha na kuiendeleza, Ukweli mama pamoja na chama utawala, wana haki ya kujivunia. Ile Ilani ya CCM 2020, inasimiwa vizuri. Mambo ya Chadema naona fresh tu, wote wanaweza kua wenyekiti. 1. Mwenyekiti wa kudumu na 2 mwenyekiti wa mpito.
 
Umeiwahisha makala kabla ya wakati wake yaani kilele chake pale watakapofanya uchaguzi na mbowe kuibuka mshindi. Maana hiyo chadema ya wakati huo haitakuwa hii ya sasa yenye miamba miwili ya siasa inayotifuana kutaka kuongoza. Mwamba mmoja ni kitisho kwa CCM hatakiwi kupanda juu CCM itapata wakati mgumu kuelekea uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani.
 
Na kaiangusha kupitia kwa Tundu Lisu. Na kama Tundu angepata mafao yake ya matibabu, wala tusingesikia kelele zote hizi
 
Mtoa mada uko sahihi, hebu mwangalie huyu anavyoongea visivyoeleweka kama amepinduka na boti baharini.....huu ni ushahidi wa uyasemayo.
 
Penye Uzia penyeza Rupia....
 
Inashangaza sana.....

Yaani baadhi ya watu eti wanaiona Chadema kama ndio adui wa taifa kuliko hata matatizo yao sugu kama Umasikini, maradhi, ujinga na rushwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…