Kikwete ni mmoja ya Marais ambao miaka Ijayo watoto wetu watatushangaa sana kuwa ilikuaje....

bilioni ngapi?,mchakato ulivurugwa na ukawa,,,hats mchakato ujao cdm watavuruga

Walivurugaje mchakato? Wakati rasimu ilishapitishwa na kuzinduliwa Uwanja wa Jamhuri Dodoma. Serikali ndio mzembe kwa kushindwa kuitisha kura ya maoni.
 
Karma is a bitch !!
 
Hivi Kama unamdai mtu hela Elf 20 akasema nakupa 12 zingije ntakupa...kama. ni mimi nachukua hizo naendelea kumdai kwasababu mtu mwenyewe msumbufu...Katika hili huyo mtu ni CCM na Ukawa



Ukawa mlaumiwe pia kwa kuharibu lile suala mngekubali ile ile muanze kudai mengine baadae....
 
Kikwete binafsi ni moja kati ya matatizo makubwa katika nchi hii...
Ukianza gharama alizotumia kuupata urais, ufisadi na upiga dili mkubwa wakati wa utawala wake, vita mipango yake ya kijinga kulazimisha Membe awe rais ikatuletea Dikteta, vita yake na Magu na hatimae kurejea Ikulu kwa remote control....

Huyu ni hafai kabisa
 
Alisema kuwa, ile pesa ya ESCROW iliyopigwa na Rugemalila na Seth Harbinder, haikuwa pesa ya umma.
 
Kwanini aliruhusu wakati hayo yaliishafanyika? Au unadhani alikuja kumbuka baadae kuwa kuna Home shopping! Acha dharau.
 
Kikwete ni adui wa wananchi wanaojitambua!!!

Na huyu ndiye mentor wa Rais aliye madarakani hivyo atajitahidi kurudia ufisadi alioufanya wakati wa utawala wake vis a vis Katiba Mpya!!!
Hivi Salma na Riz1 Dodoma huwa wanaishi Hotel? Oooh sorry Riz 1 ni Waziri kweli atakuwa anaishi kwenye makazi yasiyo salama ya Tundu Lissu( area D)
 
Hapana.Wa kukaumiwa Sio UKAWA Bali Ni CCM na Serikali yake.Waligeuza Lile Bunge la Katiba kuwa Bunge la CCM.Wajayateka maoni ya wananchi ya time ya Warioba na kuyaficha kwenye makabati mpaka leo,Wana na mapendekezo ya marehemu Samweli Sitta,yenye lengo la kulinda maslahi ya CCM na Watawala,badala ya wananchi.Malipo Ni hapahapa duniani
 
Hii nchi wewe piga pesa kaa pembeni maisha yaende
 
bilioni ngapi?,mchakato ulivurugwa na ukawa,,,hats mchakato ujao cdm watavuruga
Wamesahau kuwa CUF,CHADEMA nk ndio walikuwa vinara wa kuharibu upatikanaji katiba! Wakagomea rasimu iliyorekebishwa ya katiba. Wakataka katiba ya Warioba ambayo ilikuwa na maslahi ya vyama vyao badala ya ustawi na Umoja wa nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…