nicholasmari
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 1,939
- 1,257
Sasa poyoyo jinga km wewe utamkaribia kwa lipi, siasa anaijua hela ananayo, umaarufu anao we kima na JK wapi na wapiHuyu jamaa anaongea kwa kiburi sana
Fanya wepesi inboxEpisode ll walifuta chap na lll haikuchukua round
Episode lV imesha toka mkuu...teh😜Hutaki uchonganishi safi sana mkuu
Sio kweliEpisode lll wamesha ifuta, aliandika britanicca kwa kimombo, lakini wajuba tulisha inyonya nakala...🤣
Nikweli mkuu, leo kampeni zimefunguliwa rasmi hapa malawi...heheeheee🤣Sio kweli
Sawa tu mda ni wake acha atuone mapoyoyo wake si wamepitwa bila kupingwa mke ,mtoto mpk rais aliyemtaka yeye
Utamfanya nini? Na akitoka hapo anakwea pipa mamtoni.
Kipato huleta majivuno, wacha atambe tu, muda wake huu
Mkuu mimi ninazo ya pili ya na kwanza, naomba nitumie hiyo ya tatu ya kiingerezaNikweli mkuu, hata mimi nimefurahi sana walivyo futa.
Kwani hauna hizowalizo futa unitumie...🙄
Share please!Episode lll wamesha ifuta, aliandika britanicca kwa kimombo, lakini wajuba tulisha inyonya nakala...🤣
Naomba zote please.Mkuu mimi ninazo ya pili ya na kwanza, naomba nitumie hiyo ya tatu ya kiingereza
Jk hana mshipa w aibu 😄Ila huyu mzee 😹
Bora angenyamaza tu..!!
Wacha tumsubiri Polepole amjibu.