Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
- Thread starter
-
- #121
Tume wamewajaribu vipinga kabisa. Hawapigi kelele Hawa ongeagi sana.Hakune mwenye elimu ya kusimamia bandari nchii elimu mlizonazo hata kuuza maandazi mbashindwa hitakuwa bandari
Kama wanashindwa kusimamia halimashauli za wilaya hitakuwa bandari elimu ya watu weusi inamfaa huyo 1Ndio tumewka Vilaza Sasa tayari tujaribu na Hawa waliokairiri labda mambo yatakwenda.
Mimi siamini kama watanzania wanashindwa kuendesha bandari
Huko china na India mkataba wao upo kama huu wa kwetu?Chini wapo Zaidi ya Bilioni 1 na Dp world Kapewa Bandari kadhaa. India vile vile.
Muhaya mwenzio anatumia makalio kufikiriWe mjinga
Tumewahi kuchukua wenye A zote tukawapa Halimashauri. Mimi naonaga wengi wameungaunga sana. Longolongo. Kujamaa alikuwa Hajiwezi kabisa. Nikamkuta ni Doctors tena Mkurugenzi.Kama wanashindwa kusimamia halimashauli za wilaya hitakuwa bandari elimu ya watu weusi inamfaa huyo 1
Kuna mbunge mmoja alipata Division Zero, kule simanjiro.Ukifuatulia vizuri mjadala huu wachangiaji wenye Ushawishi na waidhinishaji wa mkataba huu wenye Ushawishi. Ukiacha wateuliwa wanaoshabiakia kikatiba na kichama.
Wengi wao Hawana hata division one kwenye matokeo ya form four.
Kwanini hata wizara ya Fedha wakachukuana wale wale wenye matokeo Tata. Kwanini wasichague wasiyo na matokeo Tata?
Hebu wa Jaribu hata faraja Kotta Uwaziri wa Fedha tuone.
Tuone niniNgoja tuone...
Mkataba...Tuone nini
Matokeo ya kidato cha sita ya mbunge wa Simanjiro, Ole SendekaUkifuatulia vizuri mjadala huu wachangiaji wenye Ushawishi na waidhinishaji wa mkataba huu wenye Ushawishi. Ukiacha wateuliwa wanaoshabiakia kikatiba na kichama.
Wengi wao Hawana hata division one kwenye matokeo ya form four.
Kwanini hata wizara ya Fedha wakachukuana wale wale wenye matokeo Tata. Kwanini wasichague wasiyo na matokeo Tata?
Hebu wa Jaribu hata faraja Kotta Uwaziri wa Fedha tuone.
Huu na IPTL na Richardmond hakuna tofauti. Shida kubwa na mkanyanyiko. Ukiiuza macho lazima utapetape.Mkataba...
Sina mwanasheriaMatokeo ya kidato cha sita ya mbunge wa Simanjiro, Ole Sendeka
Si kweli Senegal wanapaa sasa hivi Bandari yao Imeshakua Kubwa zaidi West Africa, Hawa Dp world ndio waliowaokota Jalalani Djibout toka Nchi ya ovyo ovyo mpaka walipo sasa. Kifupi Dp world hawapati Hela wasipoongeza uzalishaji.Kila nchi wanalia na DP world
Nchi haiendeshwi kwa kujaribu.Wale wale tumewapa ila Sasa tuwajaribu vipanga kuendesha nchi wakishindwa ndio tujue elimu haitajiki kwenye uongozi
Huku kwetu mkataba upoje? Sijaona mkataba na unaamini wewe pia hujauona. Kama Kuna Alieuona alete jukwaani.Huko china na India mkataba wao upo kama huu wa kwetu?
Manang'ang'ania wakati hamuweziNchi haiendeshwi kwa kujaribu.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Ndio tumewka Vilaza Sasa tayari tujaribu na Hawa waliokairiri labda mambo yatakwenda.
Mimi siamini kama watanzania wanashindwa kuendesha bandari
Division one zenyewe za kukaririshwa majibu (asilimia kubwa)Limekuwa swala la division ngapi tena