Kila kitu huvutia kinapokuwa katika asili yake

All you wrote is wrong and you know it kwa hiyo sitapoteza nguvu kukuelewesha kuwa ni kwanini ulichosema hata wewe hukiamini ila kwa sbb unazozijua wewe unatamani iwe hivyo
 
Wewe mzee😂Kwamba petrol ukipitisha karibu na moto mlipuko
Angalia huyu mwanamme alojipa jina la kike vile kafurahia hii comment ya kukatisha tamaa hadi kairudia mara 2🤔🤔
 
Reactions: Cyb
😀😀😀😀
 
Kuna vitu Mungu huviacha vitokee kwaajili ya utukufu wake na funzo kwa watu wake tusiache kuombeana
 
Isijekuwa kuna mchungaji kaamua kujisogezea huduma
 
Watafiti wanasema kwamba tatizo hutatuliwa kwa hatua/stages.

Yaani mfano mlevi hawezi kuacha pombe ghafra kwasababu tu eti zinamletea athari fulani. Ina maana huyu mlevi akitaka kuacha kabisa pombe kuna hatua lazima apitie.

kama alikuwa anatumia chupa za bia tano kwa siku atalazimika kutumia nne kwa wiki kila siku halafu tatu kwa miezi kadhaa kila siku halafu mbili,hivyo hivyo ndyo kuacha kwenyewe kunaanza.

Sasa kama ameacha hayo mambo kwasababu ya misukosuko aliyonayo ina maana ameacha ghafra na hakuna kitu kinaachwa ghafra lazima itamsumbua. Anapaswa kupata na wataalamu wamsaidie namna ya kuacha kabisa.
 
Ngumu kupona kwenye kusimamisha au kwenye kuacha hiyo tabia?
Kwa udadisi haujambo EEE 😊☺️ vyote viwili Ila lakuacha MUNGU anaweza kukubadilisha..

Ukiharibu mifumo ya kusimamisha inaweza tibiwa ikasimama Ila ikawa Ina mis function & vice versa is True.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…