Kila kitu huvutia kinapokuwa katika asili yake


Sio kweli mbona askari wa Zanzibar ana mke na watoto
 
Baada ya Mwaka utasikia ni Mwinjilist na anafanya miujiza.

Shetani ana mbinu nyingi kama ccm na Mbowe
Kuna tatizo gani, amini na kuambia huenda wewe una machafu mengi kuliko huyo Aggrey,

Sisi binadamu tunahitaji neema tu, ila hakuna aliye msafi hata mmoja , na hakuna kitu chema unaweza Fanya umfurahishe Mungu
 
Umeongea ujinga mwingi sana, ni kama hujapenda au hupendi kuona mashoga na wenye dhambi wakimtejea Mungu,

Saa ajabu una machafu kuliko huyo Aggrey
 
Acheni uongo aisee, anti assu alikuwa shoga maarufu dar ,huyo Aggrey hajamfikia ,lakin aliokoka na alifunga ndoa na sasa ana familia na watoto

Bado hujajua damu ya Yesu ,hujajua Mungu akimtafuta mdhambi inakuwaje ,

YESU hakufa msalabani bure aisee ,
 
VAR anachukulia kituo gani?
 
Adumu katika Maombi Mwenyezi Mungu azidi kumsimamia roho mtakatifu azidi kumuongoza hakuna kinachoshindikana katika mikono yake kama aliweza kumbadili SAULI na kuwa PAUL hope Mungu azidi kumkumbatia katika mbawa zake
Umeongea ukweli ,watu hawajui nguvu ya damu ya Yesu aisee ,Kuna watu tulikuwa wachawi kabisa ,ila Yesu katutoa huko ,itakuwa huyu Shoga
 
Upo sahihi ,pia huyu alikuwa na roho wa Mungu hata kama kidogo, mara nyingi nilikuwa namuona kabisa huyu ni kama anafanya ushoga ila Kuna kitu kinamwambia huko sio kwake,alikuwa hasahau kuweka hata nyimbo za injili,

Anasema aliumwa Hadi kutaka kufa ,kina Wema wakamkimbia hospital,kamuita Mungu wake akamuokoa
 
Hii uzi imejaa mashoga wengi na wana ishu za kisaikolojia nilijua kabisa comments za kukatisha tamaa zitakua nyingi kuliko za kutia moyo.Inawaumiza wakiona wenzao wanafanikiwa kutoka.
Ushoga asilimia kubwa ni mapepo, kwahiyo sishangai kuona comments za kumkatisha tamaa ,shetani ameumia sana na atamuandama sana ,azidishe maombi sana
 
Aggrey ni mtu aliyekuwa na stress sana ,nilitarajia hili.Si mara moja si mara mbili namuona katika hali ile ya stress ila sikutaka kumshauri chochote maana ni fungu ambalo alikuwa amelichagua mwenyewe.
Upo shahihi alikuwa ni mtu ambaye kama nafsi inamsuta na kumskuma atoke kule ,mpaka alipopata tatizo ndio akaisikiliza nafsi yake
 
All you wrote is wrong and you know it kwa hiyo sitapoteza nguvu kukuelewesha kuwa ni kwanini ulichosema hata wewe hukiamini ila kwa sbb unazozijua wewe unatamani iwe hivyo
Anaongea kitu kwa assumption,wanatamani na watashangilia Aggrey akirudi huko,

Anti Assu alikuwa hatari sana kwa ushoga , lakin sasa hivi ana familia na mke , na aliokoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…