Kila kitu unachopaswa kujua kuhusu PC games

unadownload kwa kutumia nini? idm, firefox, chrome etc
natumia chrome
nimetest kudownload game moja inaitwa IGI 3
BAADA YA KUINSTALL napata msg hii,THE PROGRAM OR FEATURE CANNOT START DUE TO INCOMPATIBITY WITH 64-BIT VERSION OF WINDOWS,PLS CONTACT VENDOR TO ASK IF A 64-BIT WINDOWS COMPATIBLE IS AVAILABLE.
Mimi natumia ASUS WINDOW 10,CORE i5
nifanyaje mkuu
 
Ndugu chief mm nilidownld PES 2016 lkn kila nikifungua inanidai password na nmejarb kutafuta mtandaon nimeshndwa naomba mnisaidie kwa njia yeyote kwa anaefaham

Usijali kabisa kudownload file lolote la muvi au game ambalo linaonesha kutaka password hapo baadae, mara nyingi haya ma-file hayafunguki au watakulazimisha uingie kwenye website fulani ununue kitu ndio wakupe password, sometym ni fraud website ambazo wanataka tu kukupotezea mb zako.

Ukiona file linahitaji password alafu wanasema lipo kwenye torrent, usi-download vema utafute lingine.Njia rahisi Ya kujua ni kwenda kwenye comment section Ya hilo file wakati huja download kwenye website, utaona wenzako waliodowload wanasema nini, kama zuri au la n.k nimeshapoteza mpaka 20gb kwenye hayo mambo.

Mara nyingi ma-file ya namna hii huwa ni yale ambayo ni compressed kupita kiasi, mfano, utaona game kama titanfall kila torrent ina 50gb alafu kuna moja anapost torrent yake ina 8gb
 
Napata shida jinsi ya ku play pes 16 online... Hii kitu inakuaje naomba msaada ..... Maana nacheza na watu ambao nawafunga sana sasa natafuta competition online plz help me.

Kuplay online unahitaji kua na game original Ya kununua, lakini pia utahitaji uwe na good internet connections.Mara nyingi watu hutumia steam engine, na wengine online gaming huwa inakuja moja kwa moja ndani Ya game,ukiiwasha wakati upo online...sijawahi play pes so sina uhakika.
 
Daah nashkr umenifungua nishapoteza gb nying sana saiv nme give up nacheza pes yang ya 2004 kiroho sayona tu na zidane wangu
 
jaribu kurun kwa compability, right click game nenda properties halafu chagua compability then eka sp3 windows xp uone kama itasaidia
 
Pc gan inaweza kurun fifa 16 vzur bila matatizo? Nashida nayo natafuta the less cheap, bei isiwe expensive sana
 
Pc gan inaweza kurun fifa 16 vzur bila matatizo? Nashida nayo natafuta the less cheap, bei isiwe expensive sana
taja hio range ya bei yako na unataka laptop au desktop? used au mpya?
 
Em lete uzi wa core i 7
 
 
taja hio range ya bei yako na unataka laptop au desktop? used au mpya?
Mkuu mimi kidogo nipo nje ya mada wewe unauelewa maduka mengi ya vifaa vya simu nimetafuta sana Islack nimekosa hivi unaweza nielekeza duka lolote ambalo wanauza hiki kifaa mkuu samahani kwa usumbufu
 
Mi IT kidogo inanipiga chenga

Maana na download game kwanza inasave kwenye file linaitwa dowloads

Then nikifungu huko inafungua na program inaitwa WINRAR baada ya kuclik inaanza kudownload inafika mahalili napata msg 'CAN NOT START OR RUN DUE TO INCOMPATIBITY WITH 64-BIT VERSIONS OF WINDOW'na mimi natumia
ASUS X540LA-WS51 15.6" Ultra Slim Full HD Notebook i5-5200U 8GB 1TB Win10 Laptop
Naukumbuka computer za nyuma kunasehem kwenye contol panel unaweza change iwe 32 or 64 bit,hii sioni pakubadilishia
nisaidie hapo
 
huwezi change iwe 32 bit au 64 bit bila kupiga upya windows, na kama kweli una 32bit ni upotevu wa resource, 32bit ina uwezo wa kutumia ram chini ya 4gb na oc yako ina 8gb inamaana zaidi ya 4gb haitumiki.

nenda mycomputer halafu right click then properties kuhakikisha ni windows ipi unatumia.
 
kuna jamaa aliku anataka mashine ili acheze GTA 5 sasa chief mashine yenye CPU ya 2 duo E8400 alafu ikitafutiwa RAM ya kutosha na GPU ya maana si itakua inauwezo wa kusukuma GTA5 kwa low hadi kwa medium bila ganda ganda
 
kuna jamaa aliku anataka mashine ili acheze GTA 5 sasa chief mashine yenye CPU ya 2 duo E8400 alafu ikitafutiwa RAM ya kutosha na GPU ya maana si itakua inauwezo wa kusukuma GTA5 kwa low hadi kwa medium bila ganda ganda
hapana haiwezi, ila core 2 quad inaweza ambayo bei zake ni humo around 150,000 hadi 200,000, pia i5 2nd gen now zinapatikana 250,000 sio mbaya kuongeza kidogo, na i5 za 2nd gen motherboard zake nyingi zinakubali na 3rd gen cpu hivyo ni future proof.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…