Kila Mtanzania asali, huenda kukawa na mtikisiko

Naskia covid imepiga hodi kwa jiwe, kwa kweli tuzidi kumuombea tu.
 
Acha kuiombea nchi yetu

kush na Wisdom
 
Najua wapo wasio na iman ila kila binaadam anahali ya woga pale jina la mungu likitajwa kwahivo maombi sana, hii coona itasepa ilikotoka na kama ilitengenezwa basi adhabu itawarudia na hawataisha kutapatapa.
 
ben alipaswa awe smart kuwaelewa watu kama huyu.

ni ujinga kufanya harakati kama kichaa.
 
ben alipaswa awe smart kuwaelewa watu kama huyu.

ni ujinga kufanya harakati kama kichaa.
Alikijua kikombe kwa nje,sawa na wakenya wanavotamani sababu awakijui kwa ndani.Mpe pesa au madaraka uijue tabia yake
 
Naskia covid imepiga hodi kwa jiwe, kwa kweli tuzidi kumuombea tu.
Watu waovu uchelewa kufa kuliko watu wema.Mda mfupi Kama taifa tumepoteza watu wenye faida kwa Jamii ,Mfuruki,Mengi,Ruge,Rwakatare,Mitimingi, kuliko wasio na faida ambao ni ngumu kuziba mapengo yao
 
wewe acha kuwapa watu taharuki kutokana na vigezo vyako Kuna mijinga humu akili zao zimehama watameza kila kitu hata mavi......nenda asali wewe na mkeo......alafu asali ni nini???....PUMBA!!!!......
 
Ndio maana tunasema humu kila siku, bible ni uzushi /story za kutunga tu, hivi wanyama walitubu vibi hapo kwamfano?

Na wewe mkubwa mzima / wenda una watoto nyumbani, lakini umeamini Nguruwe alitubu kwa mungu?

Jinga sana wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
... ni ujinga kufanya harakati kama kichaa.
Tatizo kuna vijana wakichukuliwa toka vyuoni wakalishwa ujinga na baadhi ua wanasiasa wanajaa maji kichwani, wakati huohuo hajapambana na maisha au kuwa na kizazi chake (familia)

Akipewa kagari nyumba na uhakika wa kubadiri cadet na kuingia kituo cha mafuta tayari anakuwa mwanaharakati kisiasa.
(Unakufa kwa chatu kukuminya na kukumeza)
 
Wewe ndio ulitaka iwe hivyo. So, umefurahi hapo? Au sio?
 
Wanaofa ya masihara waache, Kuna matatizo mengine ni ya kujitafutia.
 
Pole naona umeguswa na imeingia sawasawa.
But mnaharibu vijana wafundisheni maisha kwanza!.
Honestly, nakuona mtu fulani snitch wa kitengo. Na michezo yenu ya kidhalimu. Fresh lakini kwa kuwa kuna kazi nyingi za kuendesha maisha ila sio kila kazi ni halali ingawa inaweka mkate mezani.
 
God will remember us! Yaani Mungu atukumbuke sisi kasumbufu ambazo hatuna dira wala maono! Tunasahau kuwa Mungu anao watu wengi sana wakuwahudumia sio watanzania pekee ambao tumekuwa wasumbufu kwa kuomba mara mbilimbili hata kabla hajatujibu; huko ni kumpigia makelele ya usumbufu, sema tujiandae kupambana na hali zetu.
 
Ajabu kubwa sana Mungu hatazami kama mwanadamu atazamavyo🤣🤣

1Samwel16:7
Luke 16:15
John 8:15
Nampenda Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…