Ana mbingu yake aisee😍Kuna mdada alikua secretary ofisini kwetu, aliacha kazi na kuja kunisaidia kulea mtoto nyumbani kwangu. Ilikua ghafla tu, mimba yangu ilivyokua kubwa alisema hataki niteseke, nikafikiri utani ila niliishia kuishi naye vyema kwa miaka mitatu Alimpenda mtoto wangu sana, mtoto alivyoanza kindergaten akaomba kurudi kwao Tabora. Hiyo ilikua almost 17 years ago, baada ya muda tulipotezana akawa hapatikani tena kwenye simu yake. Huwa namkumbuka sana na mpaka leo sijajua kwa nini alifanya yale maamuzi.
Sasa hadi chai unataka nilipie? Uchoyo gani huoUnapenda vya kupewa, eenhe ?
Angalia wimbo wa pili niliyoweka kwenye uzi, unakuhusu!
HeheheKuna mtoto siku Moja uwanjan alikuwa anacheza na wenzake sasa wakampiga akawa akiwakimbiza hawapati akageuka paka wale watoto wakakimbia kutoa taarifa na Mimi nilishuhudia live bila bando ila Kuna M2 ukimwambia anakwambia movie hasa vitoto vya mjini
Jesus Christ .... Aiseeee!Kuna mdada alikua secretary ofisini kwetu, aliacha kazi na kuja kunisaidia kulea mtoto nyumbani kwangu. Ilikua ghafla tu, mimba yangu ilivyokua kubwa alisema hataki niteseke, nikafikiri utani ila niliishia kuishi naye vyema kwa miaka mitatu Alimpenda mtoto wangu sana, mtoto alivyoanza kindergaten akaomba kurudi kwao Tabora. Hiyo ilikua almost 17 years ago, baada ya muda tulipotezana akawa hapatikani tena kwenye simu yake. Huwa namkumbuka sana na mpaka leo sijajua kwa nini alifanya yale maamuzi.
Naomba hela.Huaminiki wewe, long time sana..
Duuh kiongozi hili jambo zito, pole sana una watu huwa unaongea nao kuhusu hili?Nina maumivu kutokana na my previous relationship ambayo ilikuwa rasmi kuharibika ilikuwa mwaka juzi!
Lakini hayo maumivu ninayo mpaka Leo! Kiasi kwamba siwezi kutongoza, na hata nikiona mdada mzuri mwenye kunivutia!
Nakosa hata nguvu ya kutongoza ... Jambo la ajabu ni kuwa nawezaje kuwa katika maumivu since mwaka juzi update?
Hii miaka mitatu since mwaka juzi! Maombi yangu ya kumuomba Mungu aniue ni mengi kuliko maombi ya shukurani
Hapa hata Mimi siwezi kukuaminiSijawahi kuroga hata sisimizi
Huyo ukimla si ataongea kwa tumboni😂😂😂 Huyo mbuzi na aliwe
Pole nduguNina maumivu kutokana na my previous relationship ambayo ilikuwa rasmi kuharibika ilikuwa mwaka juzi!
Lakini hayo maumivu ninayo mpaka Leo! Kiasi kwamba siwezi kutongoza, na hata nikiona mdada mzuri mwenye kunivutia!
Nakosa hata nguvu ya kutongoza ... Jambo la ajabu ni kuwa nawezaje kuwa katika maumivu since mwaka juzi update?
Hii miaka mitatu since mwaka juzi! Maombi yangu ya kumuomba Mungu aniue ni mengi kuliko maombi ya shukurani
Hapana Sina watu wa kuongea na kuhusu hili jambo! ... Ajabu ni kuwa watu wangu wengi wa karibu wananiamini Mimi mtu imara sana.Duuh kiongozi hili jambo zito, pole sana una watu huwa unaongea nao kuhusu hili?
Usiombe Mungu akuue, bado tunakuhitaji.
Usiku ukiwa mwema lala 🤣Pole ndugu
Sawa ndugu😂Usiku ukiwa mwema lala 🤣
Sikujui wala sijakuona ila Mimi mwenyewe nimesoma hapa nimecheka Sanaa!Nikiwaambia watu mimi mwenyekit wa Jumuiya wanacheka mpaka wanakaa chini😂😂🙌
Hapana Sina watu wa kuongea na kuhusu hili jambo! ... Ajabu ni kuwa watu wangu wengi wa karibu wananiamini Mimi mtu imara sana.
Wananitegemea kwa ushauri, malusuhishi na maelekezo ya mambo mengi sana ya kiroho! .. kama muda huu nimetoka kuongea na simu karibia 45, na jamaa angu!
Akinipa mrejesho wa semina aliyofanya na mwitikio mkubwa aliopata na kunipa shukurani kwa tips, token na maombi ninayoomba nae kwani yanampa Matokeo!
Na wengine wengi! Ila hakuna mtu anayejua Hali ninayopitia ... Wanaaminigi Mimi mtu imara sana! Pengine ni kwa Sababu ya neema ya Mungu aliyonipa kwa kupenda kucheka na kutabasamu muda wote!
Sina Cha kupoteza! Siwezi kujiua ila ikimpendeza Mungu ni vema tu nikafa!
Kila kitu kwangu kime stack! Jamii forum ndo inanipaga faraja na kucheka!
Hawa jamaa wamekuwa kama ndugu kwangu humu ndani wananijali sana na wananipa moyo wa kusonga mbele Intelligent businessman Bolotoba Edo kissy na wengine nimewasahau!
Ndugu huwezi kufa kabla yangu😂 kiufupi tufe tuende wapi tuzidi kupeana moyo na maombi mambo yetu yakae sawa.Sina Cha kupoteza! Siwezi kujiua ila ikimpendeza Mungu ni vema tu nikafa!
Dah haya bwanaSikujui wala sijakuona ila Mimi mwenyewe nimesoma hapa nimecheka Sanaa!
Yaani wewe ni mwenyekiti wa Jumuiya? Jumuiya hii hii ya kuomba na kusali nyumba kwa nyumba? Au Jumuiya ingine mkuu?
Mkuu hebu achana na wazo la kufariki, una jua wewe ni mkubwa Sana kwangu!.Sina Cha kupoteza! Siwezi kujiua ila ikimpendeza Mungu ni vema tu nikafa!
Kila kitu kwangu kime stack! Jamii forum ndo inanipaga faraja na kucheka!
Hawa jamaa wamekuwa kama ndugu kwangu humu ndani wananijali sana na wananipa moyo wa kusonga mbele Intelligent businessman Bolotoba Edo kissy na wengine nimewasahau!
Unajua nimeanza kupoteza kumbukumbu Edo!Sawa ndugu😂