Kila mtu ana jambo lake ambalo anajua akilisema watu hawatamuamini

Dah haya bwana
Mimi ni mwenyekit wa jumuiya ya kusali kila jumamosi Kkkt.
Ila nikiwaambiaga watu nipo busy na mambo ya jumuiya wanacheka.


Aaargh nitaanza kuwa serious
It might be! Mimi ni mtoto wa Kiroho wa much Kimaro! Na amenisomesha pia, ila namna Dunia inavyonipeleka

Mtu hawezi akaamini kuwa Nina kipawa Cha utumishi na nimetumika sana madhabahunii

Hivyo acha nikuamini ... Kesho Jumuiya wapi mwenyekiti?
 
Depression sababu ya hiyo pisi iliyokuacha au nyingine mkuu? Maana 😂😂
 
Mkuu hebu achana na wazo la kufariki, una jua wewe ni mkubwa Sana kwangu!.

2015 nili kuwa kinda Sana, Kama ni mishe bado najaribu ku sort out kwa ajili yako!.

Hali ngumu hupita, ila wagumu tuna dumu.
Tough time never last but tough people do!

When going get tough the tough get going

Nimekuelewa sana mkuu! Usijali .... Ila azizi kaniliza sana
 
Natamani wewe mubwa nikulambe Ata Kofi 😅🥶umekula kwanza kabla ya yote?

Ebu Fikiria utamu wa wali nyama, supu ya kuku vidali, ndizi mkaango,, sambusa,

Fikiria hao magonjwa aliyepo hospital ICU, mfikirie mtu mwenye miaka 59 mwenye HIV, AIDS bado ana anamatumaini ya kuishi

Mfikirie babu mwenye miaka 90 na kuendelea bado anatamani kuishi hadi miaka 100, japo uzee unamtesa watoto wote wapo mjini 🥶


Alafu wewe unasema unataka kufa😮‍💨
Pumbafu Toka maghetoni chukua jembe toa majani sesa nyumba nzima usiruhusu akili iwe idle

By then njoo PM
 
Depression sababu ya hiyo pisi iliyokuacha au nyingine mkuu? Maana 😂😂
Unajua maana ya msongo wa mawazo?

Msongo wa mawazo ni msongamano wa mawazo yanayoingia ndani akili ya mtu (nafsi ... Subconscious mind) yakiwa na swali yanayohitaji majibu sahihi kwa wakati sahihi!

Yakizidi kuwa mengi na yote yakiwa hayapatu majibu, mtu au moyo wa mtu ndipo unapooanza kuelemewa! Na ndio mwanzo wa mtu kukata tamaa!

Ila we push mambo ni mengi! We shall over come!

Nikivuka hapa! Trust me nitakuwa mmoja watu wafariji wakubwa kwa wengine maana ntakuwa na experience ya kutosha

Nipite semaji la Majobless Promax
 
Naona hasira Zako za kutokulipwa Leo kwenye kibarua chako umeniamishia Mimi eeh?

Kuna muda ni lazima ukosee kwa kusema ukweli ili ufumbuliwe macho na kweli halisi ya maisha ili kupata uponyaji!

Kama nisingefunguka! Hekima hii kubwa uliyoitoa ningeipata wapiii?

Nakuja PM 😂
 
Acha uhuni
 
Utamu wa ukoko wa wali na maharagwe asubuhi. Aki huyu jamaa🤐
 
Ndio maana siku kosea kukuchagua kuwa makamu wangu, boya. Wewe
 
Usikae alone sana mkuu, semaji mitano tena😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…