GE2025 Kila mtu anakemea mauaji ila hamna anayekemea uharibifu wa mali

GE2025 Kila mtu anakemea mauaji ila hamna anayekemea uharibifu wa mali

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Una uhakika waliopigwa risasi ndio waliofanya uharibifu??
nmesema kabisa apo hakuna anaefurahia kifo, unaruka main point ya kwamba kuna watu wa kukemea ambao ni wezi hao hao unawaonea huruma
 
Wala usiwe na hofu. Yule shetani wenu mliyemuweka akikemea peke yake tu, inatosha sana. Tena usije ukashangaa akitangaza hadharani kuwalipa mamilioni ya kodi zetu kama fidia.
huoni bado tatizo nalolielezea apa, wewe hujui watu wameanza vp biashara labda kwa sababu hujafika walipo, watu wanapitia mengi sana kwenye biashara mpaka wanafanikiwa
 
Pesa inatafutwa je uhai wa mtu unatafutwa? Eeh watu wakifa wanarudi??? Wangap humu mmeanguka kibiashara na mmeamka Tena je ukifa utaamka Tena??
Usifananishe kifo na hizo Mali ambazo Kila siku tunazitafuta na hatutosheki
 
Uharibifu wa mali ni kwa sababu ya ufisadi wanasema hizo mali zimetengenezwa na kodi zao zilizoibwa.
Kwa hiyo hata mwendokasi wamemuibia Nani kujenga? Mahakama za wilaya je? Pale Mbeya walichoma Hadi ofisi ya TRA .....kama mleta maada alivyosema hatuungi mkono mauaji ..ila Yale hayakuwa maandamano Bali uharibifu na fujo ndo maana vyombo vya dola vimetumia nguvu kubwa ..ilikuwa ngumu kumtenganisha kibaka,Teja na Mwenye degree anayeandamana.😆
 
Back
Top Bottom