GE2025 Kila mtu anakemea mauaji ila hamna anayekemea uharibifu wa mali

GE2025 Kila mtu anakemea mauaji ila hamna anayekemea uharibifu wa mali

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mauaji na uharibifu wa mali kipi kilianza?

Nyinyi wana ccm mbona mmekuwa wehu?, watu wanatekwa na kuuliwa muda sasa, hamuoni kama ni tatizo?.
Kumbukeni tunaishi na nyinyi mitaani.
 
Mafwele ni robot la Samia, wanaopaswa kuaawa kwanza ni Samia na Kikwete. Kuchoma daladala is by far a lesser crime ukilinganisha na utekaji na uuaji.
More serious things first ambavyo ni utekaji na uuaji then vitakuja hivi ambavyo ni repercussions tu vya kuchoma daladala and the likes.
Mafwele hata kama ni robot la watawala kwanini ukachome Daladala Vituo vya mazutu nk.
 
Mauaji na uharibifu wa mali kipi kilianza?

Nyinyi wana ccm mbona mmekuwa wehu?, watu wanatekwa na kuuliwa muda sasa, hamuoni kama ni tatizo?.
Kumbukeni tunaishi na nyinyi mitaani.
ni kwel tunaishi mitaa hio hio na ndo maaana kabla ya yote tulisema amani ikiondoka ni kila mtu anapata madhara
 
Mail inatafutwa, uhai wa Mtu utafidiwa vipi? Isitoshe hao Askari walifanya mauaji hata baada ya uharibifu huo kutokea kwa kupiga risasi Raia Majumbani mwao, nafikiri kama ingetokea mmoja ya Ndugu zako kuuawa usingeandika utumbo huu..
waliokua wanahimiza amani mlikua mnawaona machizi si ndio
 
Dah! Sidhani kama umeshuhudia watu waliopigwa risasi,..sidhani!
Labda tu ni vile unaongea sababu upo mlengo mwingine.Mimi nimeshuhudia mtu kapigwa risasi akiwa dukani kwake. Huyu hata hakuwa panya road kwakweli.
ndo maaana watu walihimiza amani toka mwanzo haya yote yasingetokea
 
Tanzania haiwahi kupata mhalifu mkubwa kama Samia kwenye historia yake yote.

Amefanya uharibifu mkubwa sana kwa hili taifa kuanzia kuiba rasilimali, kodi zetu, kuleta ubaguzi wa ukabila, udini, Ubara na visiwani, jinsia, utekaji, ufiraji, utesaji, kuiba chaguzi, kutupa watu magereza

Na sasa hivi mauaji level ambazo haziwahi kutokea Tanzania.

Inaonekana alitoa order kila kinachotembea piga, ua.
ata mm ningetoa hio oda
 
ata mm ningetoa hio oda
Unaonyesha uwezo wako wa kufikia strategically and tactically ulivyo mdogo. Wewe na Samia akili zenu zinalingana.

Kwa aliyoyafanya amepata faida gani?
Nyerere walitaka kumpindua zaidi ya mara sita. Hata siku moja hakutumia hizi mbinu zako wewe na Samia.
 
Pesa inatafutwa je uhai wa mtu unatafutwa? Eeh watu wakifa wanarudi??? Wangap humu mmeanguka kibiashara na mmeamka Tena je ukifa utaamka Tena??
Usifananishe kifo na hizo Mali ambazo Kila siku tunazitafuta na hatutosheki
Acha kuhalalisha upuuzi. Na hili suala bado halijaisha. Waliofanya uhalifu wote watakamatwa na kufikishwa mahakamani.
 
Unaonyesha uwezo wako wa kufikia strategically and tactically ulivyo mdogo. Wewe na Samia akili zenu zinalingana.

Kwa aliyoyafanya amepata faida gani?
Nyerere walitaka kumpindua zaidi ya mara sita. Hata siku moja hakutumia hizi mbinu zako wewe na Samia.
ulishawahi kuona maandamano zamani watu wakichoma mali za watu?
 
Tuanze kwanza kuwakemea wezi na waharibifu wa mali za umma waliowafikisha hapo hao unaowalalamikia. Msihangaike na matokeo ya tatizo, anzeni na chanzo.
 
ulishawahi kuona maandamano zamani watu wakichoma mali za watu?
Sio maandamano tu, hicho ni cha mtoto, watu walitaka kumpindua kabisa Nyerere mara nyingi tu, na kulikuwa na ushahidi wa kutosha.

Alikuwa na nguvu kubwa sana na kupendwa sana. Alikuwa na uwezo wa kuwafanya chochote lakini hakutumia mbinu za kigaidi na kikatili kama za Samia.

Samia anashambulia mtu yoyote nyumba yoyote ,mitaa, barabara, kata, wilaya, mikoa yote anapofikiri waandamaji wametokea huko. Hajali hii ni nyumba ya watu wasiohusika.

Unaweza kuona ukatili, akili zake zilivyo ofcourse ziko kama zako. Ndio maana unasema ungefanya kama Samia na unamtetea.

Vipi kama nyumba yenu, yako, au mtu wako wa karibu, mtoto wako angeshambuliwa akiangalia mpira.
 
Back
Top Bottom