figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Mali za nani kwa mfano?Hatufurahii kifo lakini hawa vijana wakukemewa pia, uharibu waliofanya ni mkubwa sana
Mali za nani kwa mfano?Hatufurahii kifo lakini hawa vijana wakukemewa pia, uharibu waliofanya ni mkubwa sana
Hakuna chenye thamani kuzidi uhai wa binadamuHatufurahii kifo lakini hawa vijana wakukemewa pia, uharibu waliofanya ni mkubwa sana
We kum@ chafu ya bibi kizimkazi, kuna Mali gani ya kuthaminishwa na uhai wa MTU we ***** ? , Tanzania kuna Mali gani hapa we taka taka mbwaHatufurahii kifo lakini hawa vijana wakukemewa pia, uharibu waliofanya ni mkubwa sana
Wewe ni mpumbavuHatufurahii kifo lakini hawa vijana wakukemewa pia, uharibu waliofanya ni mkubwa sana
Ulafi wa madaraka na uchawa vimekupofusha.Hatufurahii kifo lakini hawa vijana wakukemewa pia, uharibu waliofanya ni mkubwa sana
Gen Z walichokifanya ni matokeo ya unyama wa Samia na genge lake, the inevitable aftermath. Hawajafanya kosa lolote kwani hakukuwa na namna nyingine yoyote ya kufanya sauti ya wanyonge isikike ndani na nje ya nchi, you reap what you sow.Hatufurahii kifo lakini hawa vijana wakukemewa pia, uharibu waliofanya ni mkubwa sana
Huo ndo inaitwa UNAFIKI. Shida yao ni Samia tu basi.......hawampendi sababu ya uzanzibar na dini yake. Naapa, ni hivyo tu ndo maana Leo wanaochoma mwendo Kasi viongozi wa Kikatoliki na Kipentekost hawajakemea hata kidogo hilo na wakaruka mada kwenda kwingine......UNAFIKI.Hatufurahii kifo lakini hawa vijana wakukemewa pia, uharibu waliofanya ni mkubwa sana
Wewe hujui aliye sababisha hayo maandamano na huo uharibifu unao usema wewe?Hatufurahii kifo lakini hawa vijana wakukemewa pia, uharibu waliofanya ni mkubwa sana
Hiia anjenda ambayo mmeificha muda mrefu, sasa inajifichua wazi wazi. Kwa hiyo ni wakati mwafaka sasa hivi waTanzania wote wajue tatizo linapoanzia; na kama halitapata ufumbuzi haraka, naiona Sudan ikiinyemela Tanzania.Huo ndo inaitwa UNAFIKI. Shida yao ni Samia tu basi.......hawampendi sababu ya uzanzibar na dini yake. Naapa, ni hivyo tu ndo maana Leo wanaochoma mwendo Kasi viongozi wa Kikatoliki na Kipentekost hawajakemea hata kidogo hilo na wakaruka mada kwenda kwingine......UNAFIKI.
Ulipaswa ukatae utakaji mauaji kuwabambikia kesi za uongo watu kwanzaHatufurahii kifo lakini hawa vijana wakukemewa pia, uharibu waliofanya ni mkubwa sana
Acha upumbavu wako wewe mvuta Bangi mkubwa yaani vitendo vya utekaji mauaji kuwabambikia watu kesi za uongo vina uhusiano gani na Udini? Polisiccm wanaotumwa kuwaonea watu wao ni Dini gani?Huo ndo inaitwa UNAFIKI. Shida yao ni Samia tu basi.......hawampendi sababu ya uzanzibar na dini yake. Naapa, ni hivyo tu ndo maana Leo wanaochoma mwendo Kasi viongozi wa Kikatoliki na Kipentekost hawajakemea hata kidogo hilo na wakaruka mada kwenda kwingine......UNAFIKI.
Tatizo la mashetani wa ccm ni kuwa na washauri vilaza ebu mafano chawa mjaku au Steven Nyerere ni watu wa kutoa ushauri wa maana huko ccm?Gen Z walichokifanya ni matokeo ya unyama wa Samia na genge lake, the inevitable aftermath. Hawajafanya kosa lolote kwani hakukuwa na namna nyingine yoyote ya kufanya sauti ya wanyonge isikike ndani na nje ya nchi, you reap what you sow.
Kuwateka kuwaua kuwabambikia kesi wakosoaji wa ccm ni sawa?Kuharibu mali noma.
Sio sawa, lakini kwa Mafwelle kunajulikana kuliko kuchoma daladala za walalahoi.Kuwateka kuwaua kuwabambikia kesi wakosoaji wa ccm ni sawa?
Waliosababisha hao wapigwe risasi ni nani?Una uhakika waliopigwa risasi ndio waliofanya uharibifu??
Wao hawajaua?Pesa inatafutwa je uhai wa mtu unatafutwa? Eeh watu wakifa wanarudi??? Wangap humu mmeanguka kibiashara na mmeamka Tena je ukifa utaamka Tena??
Usifananishe kifo na hizo Mali ambazo Kila siku tunazitafuta na hatutosheki