pakashumeeew
Senior Member
- Oct 11, 2025
- 157
- 361
Mpaka kieleweke
Mafwele ni robot la Samia, wanaopaswa kuaawa kwanza ni Samia na Kikwete. Kuchoma daladala is by far a lesser crime ukilinganisha na utekaji na uuaji.Sio sawa, lakini kwa Mafwelle kunajulikana kuliko kuchoma daladala za walalahoi.
Vijana wameharibu mali ambayo ni ndogo kuliko mali/fedha ambayo Samia/JK Genge walioiba miaka yote hiyo.Hatufurahii kifo lakini hawa vijana wakukemewa pia, uharibu waliofanya ni mkubwa sana
Dah! Sidhani kama umeshuhudia watu waliopigwa risasi,..sidhani!Waliopigwa risasi ni panyaroad na ndio waliofanya uharibifu wakishirikiana na vijana wengine toka nje ya nchi!.
Tanzania haiwahi kupata mhalifu mkubwa kama Samia kwenye historia yake yote.Hatufurahii kifo lakini hawa vijana wakukemewa pia, uharibu waliofanya ni mkubwa sana
Nimetembea tembea mjini jana wamechoma terminal ya kimara ya mwendokasi mpaka argentina kilichosalimika ni kupigwa mawe vioo na ni kimoja, ofisi za shabiby na mabasi matatu, ratco, esther, hii njia ya gongo la mboto wamechoma gari za serikali nyingi sana na vituo vya mwendokasi pia kwa njia hiyo, vituo vya mafuta na malori ya watu ndo usiseme, pale rupia filling station walikuja wakataka kupewa mafuta bure wana madumu yao wakakataliwa wakawasha moto, kukiwa na gari za watu na IT kama 15 zikaungua zote.Kwa hiyo hata mwendokasi wamemuibia Nani kujenga? Mahakama za wilaya je? Pale Mbeya walichoma Hadi ofisi ya TRA .....kama mleta maada alivyosema hatuungi mkono mauaji ..ila Yale hayakuwa maandamano Bali uharibifu na fujo ndo maana vyombo vya dola vimetumia nguvu kubwa ..ilikuwa ngumu kumtenganisha kibaka,Teja na Mwenye degree anayeandamana.😆
Huwezi fananisha uhai wa mtu na mali.. baada ya miezi kadhaa sheri na maduka yatarudi kama yalivyokuwa kabla. Je? Hao waliopoteza uhai unaweza kuwarudisha? Msipende kuhalalisha uharifu kwa cheap reasoningHatufurahii kifo lakini hawa vijana wakukemewa pia, uharibu waliofanya ni mkubwa sana
Mkuu waandamanaji walianza kuwadhuru watu wasioandamana na wamevunja maduka ya watu na uasi ulikuwa mkubwa, nadhani vyombo vya ulinzi na usalama vimetumia nguvu kubwa kuwazuia wale vijana vinginevyo leo tungekuwa tunaongea mengine.Huwezi fananisha uhai wa mtu na mali.. baada ya miezi kadhaa sheri na maduka yatarudi kama yalivyokuwa kabla. Je? Hao waliopoteza uhai unaweza kuwarudisha? Msipende kuhalalisha uharifu kwa cheap reasoning
Still bado hakuna sababu yenye uzito ya kupelekea kutoa uhai wa mtu.Mkuu waandamanaji walianza kuwadhuru watu wasioandamana na wamevunja maduka ya watu na uasi ulikuwa mkubwa, nadhani vyombo vya ulinzi na usalama vimetumia nguvu kubwa kuwazuia wale vijana vinginevyo leo tungekuwa tunaongea mengine.
Hayo ni matokeo ya dhuluma watu waliofanyiwa na wanaendelea kufanyiwa na like genge linalo zingizia watu kesi za uongo. Wewe fikra sirikali iwe ongo ongo. Je watoto watakuwaje ⁶Hatufurahii kifo lakini hawa vijana wakukemewa pia, uharibu waliofanya ni mkubwa sana
Kwanini waliandamanaHatufurahii kifo lakini hawa vijana wakukemewa pia, uharibu waliofanya ni mkubwa sana
Mali kitu gani mali hurudi uhai je
Wadau wanakujibu kuendana na aina yako ya maswali.sometimes shirikisha ubongo kabla hujajibu vitu
Unajali uharibifu over uhai wa binadamu? Je uharibifu huo sababu yake ni nini....ni matokeo ya hasira ya kutosikilizwa kwa na oppression ya muda mrefu sana. Ni sawa na kuwekwa kwenye preassure cooker masta...difference ya pressure ikiwa kubwa bursting hutokea. Vijana au umma ungeruhusiwa ku excercise haki zao. Kama uandamana, kusikilizwa shida zao, kupewa haki zao n.k wasingefika huko. Unaua watoto wao, watu unawasuppress with everything u have. On top on that unaua pia unawamock wananchi wako kama vile ni low iQ people. Unaexpect wafanye nini? Wanaresort to violance... si condon but think about it. Uhai wa raia tena wasiobeba silaha hauna thamani zaidi ya hizo maliHatufurahii kifo lakini hawa vijana wakukemewa pia, uharibu waliofanya ni mkubwa sana