GE2025 Kila mtu anakemea mauaji ila hamna anayekemea uharibifu wa mali

GE2025 Kila mtu anakemea mauaji ila hamna anayekemea uharibifu wa mali

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wala usiwe na hofu. Yule shetani wenu mliyemuweka akikemea peke yake tu, inatosha sana. Tena usije ukashangaa akitangaza hadharani kuwalipa mamilioni ya kodi zetu kama fidia.
Asipowalipa ntashangaa..kwa nini wasilipwe!?
 
Hatufurahii kifo lakini hawa vijana wakukemewa pia, uharibu waliofanya ni mkubwa sana
Angalia chanzo halafu Angalia kauli za viongozi wako nani mwenye makosa anza na ile ya tuhamie burundi mpaka ile ya nape
 
Hatufurahii kifo lakini hawa vijana wakukemewa pia, uharibu waliofanya ni mkubwa sana
Uharibifu wa mali una rehabilitation, rebuild n.k. Uharibifu wa uhai kwa kuua watu hauna hivyo vitu. Ukiwa na uhai vitu vyote huweza kupatikana.​
 
Wanajitoa fahamu Tu, yale yalikuwa uharibifu tu
 
Back
Top Bottom