Kila mwanamke anataka kuolewa na Mwanaume mrefu tu

Kwangu mie madem warefu huwa nawaona wanazinguaga kwa kujiskia skia huku wana hizo za kuchagua chagua sana ila wafupi hawanaga noma sana ukimuonesha love.


Chances za kutafuna demu mfupi ni 99 of 1OO.
Ila demu mrefu ni 5O-1OO.
Wafupi shida yao ni gubu mara kwa mara. Huwa kuna kutojiamini flani hivi kwa wengi wao
 
Wanaume warefu mbona tupo, sema kama Mimi pia natafuta mwanamke mrefu kiasi, hawa wanawake wafupi nawaachia wanaume wafupii,
 
Jitahidi urefuke!Ukisimama pembezoni mwa Jaba watu wanakutafuta .Ukikaa baa Counter mbia mbili tu Ukishuka miguu imekufa ganzi kisa imenig'inia muda mrefu unamuona Nyadundo anachechemea demu wake wanaondoka kisa ganzi miguuni.
Haya sasa matusi...najirefushaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…