Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 11,047
- 16,378
Usini spy mkuda weeeAlooh! Ndiomaana tamaa ya kuonjana haiishi π
ππHaja wenzako wanao bado wewe unachelewa chelewaπ
π€£π€£Usini spy mkuda weee
πNjoo nikuoe tuzae
Kama ikitokea ndioUnataka mchumba Kwa sasa?
Mambo, naomba nikuchek pmSina mkuu.nikiwa naye nitajibu ninae
Lakini si suala langu binafsi?
Heeee mbaga πππMambo, naomba nikuchek pm
NaamHeeee mbaga πππ
Mi ntamvalia njuga halafu nimchambe.Utamjibu shit moja kali sana sioπ
Sijasema ana kosa naelewa kauliza kujua mfumo wa Maisha ninavyoenda Kwa ujumla na kama Nina lolote jipya.Kosa la mzazi hapo ni nini Abigail?
Mzazi wajibu wake ni kujua maisha yako, hata kuuliza una mchumba ni jambo la kheri
You are over thinking
je kama usingeulizwa ungeona sawa?
ππNaam
wakati wa MUNGU ni wakati sahihi....no worries relax rafiki yanguShida ni hawajui ni rejection ngapi unapitia
Asantewakati wa MUNGU ni wakati sahihi....no worries relax rafiki yangu
A - UmeamkajeTukiacha tabia ya kusalimiana nusu saa tutapunguza mengi.
Watanzania tunajua kusalimiana sijawahi kuona, half an hr ni salam tu, unategemea maswali gani baada ya salamu.
π―π―Hugs luv π« π€
Ila watanzania kuna namna inabidi tupunguze kufuatilia maisha binafsi ya wengine na kuuliza maswali yasiyotuhusu!
Hesabu ya kwamba 'umempata'!Kama ikitokea ndio
OkayHesabu kuwa umumpata!