Kuna wanaume wana low achievements, sasa hao kupata mwanamke ni lazima mwanamke awe na low expectations.Wanalazimisha tuwe na formula moja kuipata hiyo ndoa as if ndoa zote zina furaha!
Kumekucha πΉπΉWewe ni limbukeni huna ustaarabu, huna social graces, ndiyo maana unatumia neno "muongo" kirahisirahisi tu. Tukilichambua hutaweza kulitetea.
But I know you will never get that through your head.
Kwa hiyo unataka kusema wewe unanijua kuliko ninavyojijua mwenyewe?
Mimi Tanzania nilikuwa naonekana, najulikana. Nimekimbia kujulikana.
Nimerudi likizo nimefika Samaki Samaki Mlimani City, kuna mtu kaniona anapiga kelele "Mnamjuaa huyuu, mnamjua huyuu?" sehemu yote wananiangalia mimi.
Sasa kuna watu hatutaki maisha hayo ya umaarufu, hayo ndiyo maisha tuliyoyakimbia Tanzania tuje Marekani ambako hatujulikani.
Usikariri tu kwamba kwa kuwa wewe unapenda umaarufu, na watu wa kijijini kwenu wote malimbukeni mnapenda umaarufu, kila mtu yuko hivyo hivyo ana ulimbukeni kama nyie.
Kuna watu wengine tunapenda peace of mind, privacy, hatupendi umaarufu.
Pia wewe una tabia za kishenzi za kupenda wengine wawe na matatizo.
Wajerumani wanaita schadenfreude.
Unalazimisha niwe napamiss Bongo, kwa sababu nakaa JF. Kwanza ku miss Bongo maana yake nini? Bongo ina vitu vingi, kwani siwezi kupenda mazungumzo fulani ya Bongo lakini nikachukia mengine?
Siwezi ku miss mambo fulani yaliyokuwapo Bongo zamani ambayo leo hata nikirudi siwezi kuyakuta?
Why are you this dumb and simplistic and vreating all sorts of false dichotomies?
Unasema ulikaa diaspora, una hasira kwa sababu maisha ya nje yalikushinda ukarudi Bongo unashangaa wengine tumewezaje kuendelea kuishi nje? Is this your problem?
Wewe una fikra za kichawi kuombea watu matatizo.
Na ni watu kama wewe wanaonifanya nishindwe kukaa wa Wabongo.
Kwa sabau hapa hatujakutana tu unataka kunifanyia uchawi, ukikutana nami si ndiyo utaniwekea sumu kabisa kwenye kinywaji nife?
π π π OmgMimi nawe tena!! Hakuna linaloshindikanaππ½
Siyo sana, but siunajua sheria za jf zilivyoKumbe ni mazito
Hayaπ
Kujibizana na malimbukeni wa JF ni tabu sana.Kumekucha πΉπΉ
Kwa umri nliofoka.ni Bora kuyaishi Maisha
Kuolewa hata isipotokea sio lazima
Kwa mtu aliye lelewa vizuri na wazazi wake hawezi kuwajibu hivyo wazazi wake labda kwa watu baki ,linapo kuja suala la kudili na wazazi inatakiwa akili na si mihemko utajikuta umesha wakosea adabu.Kwani huwa ni lazima?
Mimi yananiogopa kuniuliza yananijua nitakachowajibu..!! πΉ
Lingine eti β Dada ulivyobarikiwa usife bila kutuachia copyβ Nikalijibu si nitawaachia balaa muuane na ashki zenu za kuku..!!
Wewe hao wazazi waambie mmenizaa mmemaliza, kuhusu maisha yangu ni jukumu langu kuamua nini nataka na kwa muda gani..!!
Wanasema Mbongo mpe picha atakupa story yote, ila wewe umenipa story nimepata picha ulivyo na jumbo unavyowatesa vijana wa watu πππKwani huwa ni lazima?
Mimi yananiogopa kuniuliza yananijua nitakachowajibu..!! πΉ
Lingine eti β Dada ulivyobarikiwa usife bila kutuachia copyβ Nikalijibu si nitawaachia balaa muuane na ashki zenu za kuku..!!
Wewe hao wazazi waambie mmenizaa mmemaliza, kuhusu maisha yangu ni jukumu langu kuamua nini nataka na kwa muda gani..!!
Hapo nakuunga mkono na miguu!ππΎKuna wanaune wana low achievements, sasa hao kupata mwanamke ni lazima mwanamke awe na low expectations.
Na wanajua hawastahili hata cooperate ladies tuπNdiyo maana wanasisitiza sana mwanamke asiwe na high expectations.
Kwa sababu wanajua wanawake wengi wakiwa na high expectations, wao watakosa hata girlfriend.
Kwanza hakuna mwanaume aliye kamili mwenye mawazo ya kichawi hayo!Mwanamme anayejiamini kwenye achievements zake hawezi kulazimisha mwanamke awe na low expectations.
πΉπΉπΉ Khaaaaa..!!Kujibizana na malimbukeni wa JF ni tabu sana.
Zamani enzi za GAME THEORY na FMES Sauti ya Umeme kuwa na internet ilikuwa ina maana fulani, mtu kasoma fulani, anaelewa social graces fulani, kasafiri fulani, ana pedigree fulani, ana savoir faire fulani.
Ila siku hizi mbwa wote wamefunguliwa, wengine wana magonjwa ya ngozi, wengine wana viroboto, wengine wana kichaa.
Na wote wanataka kuchanganyika kama eti mko sawa kabisa.
Ndiyo maana nawapeleka ignore list tu.
Huyo Abigail Kama sijakosea ana changamoto ya ulemavu, sasa wazazi wake wanajua hayo yote lakini wamekomaa na kumuulizia ndoa. We unaona wanahitaji jibu lipi?Kwa mtu aliye lelewa vizuri na wazazi wake hawezi kuwajibu hivyo wazazi wake labda kwa watu baki ,linapo kuja suala la kudili na wazazi inatakiwa akili na si mihemko utajikuta umesha wakosea adabu.
Hapo wakikuuliza ww ni kuwapa jibu Moja tu ni nipo nalishughulikia basi.
Watafute hao wazee leo narusha mikono sehemu niache.Najifunza kutoka kwa wakubwa wanguπ
Gazeti hilo ππππKumekucha πΉπΉ
πΉπΉπΉ Hamna lolote tamaa zao tu!Wanasema Mbongo mpe picha atakupa story yote, ila wewe umenipa story nimepata picha ulivyo na jumbo unavyowatesa vijana wa watu πππ
Jamani si ungenipitia mdogo wako, sijapenda!Watafute hao wazee leo narusha mikono sehemu niache.