Kila nikikutana na wazee/watu wakiniuliza swali "una mchumba?" Najikuta naumia

Tanzania kama jamuhuri Ina haki ya kujua uhakika wa kupata walipa kodi wa kutosha wajao!

Tena waliolelewa vema!wanna haki ya kutoa duku duku lao na hiyo ndio asili!

Katika zama za ushoga na lesbianism swali hilo ni muhimu coz linaondoa shaka ya kesho ya taifa letu!!

"Bado sijapata,napambana pia, nitampata TU"
 
Bwashee mm hata mtu kuniambia kule ninunulie kitochi hathubutu ingawa mm sio mchoyo dizaini tuu nimejiweka mazoea mengi sitaki
Kuna namna ukiishi tu , watu wanakosa ujasiri wa kukuliza chochote, bila hata kutumia nguvu kubwa
 
Tatizo wakiwa kwenye usichana wao wanachagua sana na wengine wanakuwa na ndoto kama wanaume kuja kustuka jua limezama kwanini asiolewe na kitoto cha afu mbili kinachovaa gucci na tukaptula
 
Mtu akitoa jibu mengine muachie mwenyewe
Sio vibaya kuuliza lakini sio vema kwenda deep labda kama ana changamoto atakueleza apate ushauri ama msaada
Lakini kama hajaamua please acha.
Mfano mtu ana mtoto mmoja anakaribia miaka kumi.hata kama mzazi una hamu ya kuona wajukuu wengi,sio sawa kumchimba maybe Kuna mambo personal zaidi yanabaki kati ya wawili yeye na mkewe
 
Kwa hili tangazo ni rasmi jimbo linataka mgombea ?

On a serious note, ke over 30, jua la jion... hupati tena mtu wa maana, huenda kuna ujinga plus mashauzi ulifanya ujanani.... wanakuja watu serious unaringa.... Sasa hivi tafuta mtu yoyote anayekojoa amesimama, kikubwa anapumua
 
Sawa huna mchumba, vipi vijana ndoano wanatupa ?

Wazee wana maswali mengi ya kujiuliza maana wanajua tayari wewe ni mtu mzima na haja za mwili lazima zitimizwe. Sasa unazitimiza vipi kama huna mchumba?

Wanaona hapa binti yao anaweza akawa ameangukia kundi baya la kwanza au la pili.
 
Kaka usitete angalia demu wa ARUSHA kadanganya anauza duka kumbe anauza nyapu kafia gesti hio aibu kijijini kwao wataipeleka wapi?
Kwanza inasikitisha sana badala ya kusikitika mtu kapoteza maisha umeona jambo kubwa kabisa la kusikitisha hapa ni aibu ya kijijini kwao.

Yani unaishi kwa kujali zaidi watu watakionaje kijiji kuliko kujali mtu kapoteza maisha.

Yani kati ya mtu kupoteza maisha na kijiji kupata aibu umeona kijiji kupata aibu ndiyo tatizo kubwa.

Na hapo hapo hujaona kuwa hoja nzima ya kijiji kupata aibu ni ya kijinga kabisa. Ni hoja ya kijinga kabisa, kwa sababu kama kuna aibu inatakiwa kuwapo hapa, ni kwa mtu aliyefanya kosa, si kijiji chake.

Unakipaje kijiji kizima kosa la mtu mmoja?

Zaidi, umeshindwa kufikiri kimfumo. Hawa watu wana matatizo ya kimfumo ya kukosa elimu, kukosa fursa za kazi, kukosa uongozi bora, kukisa utamaduni bora, kuwa na umasikini wa kurithishana vizazi hata vizazi. Umeshindwa kuangalia mambo ya msingi ya kimfumo yaliyopelekea jambo hili, umefocus kwa mtu mmoja tu kama yeye ana nguvu kushinda mifumo.
 
Punguza expectations, huyo unaemsubiri, hata yeye anakusubiri.., make the move wewe.., usimsubiri yeye..
 
Acheni upimbi. Mwanamke over 30 upo upo tu unataka jamii isikushangae. Yaani mchumba huna, mme huna, mtoto huna.

Kama kuna shida za kiafya ita-make sense.

Otherwise endeleeni kujifariji na u-feminist huku mkitumika.
Wakitumika na nini nna nani?
 
😆 binafsi kuna namna nimejingea kwenye jamii , mpaka mtu aniulize swali la kipuuzi atakua kajitoa ufahamu sana
Kuna wale watu Baki ukiwaambia uko single wanakuuliza unaishije Sasa
Yani unamange vipi upweke wako,hisia zako,nyg zako nk

Binafsi sijawahi muuliza mtu Hilo swali
Sema tu nakuwa muungwana kwenye kujibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…