Kila nikikutana na wazee/watu wakiniuliza swali "una mchumba?" Najikuta naumia

Mzazi wako anakuogopa kwa vile unaishi US?
 
Sawa kaka we huamini dini yangu mi najiamini ndio mana nimesema hivi
 
Unge print hii afu weka kwenye bahasha afu wakikuuliza unawapatia sisi hatuhusiki madam unatuonea.
 
Upo sahihi sanaa kwenye hili.
Shida ni pale mtu wa namna hiyo ambaye hana mchumba lakini kutwa kucha kudandia waume za watu,hapo kutakua na walakuni,lakini kama "issue" ni rejection hapo hamna shida kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…