Dr Adam Francis
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 790
- 1,316
- Thread starter
-
- #41
Mchango wangu ni kuleta nyuzi kama hizi ambazo zinakugusa mpaka wewe kuchangia maoni yakoWewe huna mchango wowote katika jamii na taifa kiujumla zaidi ya uchawa.
Kumbe ile kesi nayo ilikuwa ya UHAINI??Huwezi kushangilia Mwendesha Mashtaka Katuga alipombana Heche maswali binafsi ya mali, alafu leo uje na hoja kuwa kesi ikiwa ya Uhaini mawakili wana mipaka—hapo unajidanganya na unaonesha undumilakuwili wa wazi. Kwenye cross-examination, hakuna wa kumpangia wakili maswali. Mfano wa Dkt. Lamwai kwenye kesi ya kupinga matokeo ya Ubunge jimbo la Ubungo unathibitisha hili; alihamaki Wakili Wambari alipomhoji kuhusu mkewe Maria na matumizi ya fedha, lakini Jaji alimwambia 'Jibu swali!'. Sasa Mahakama Kuu imeshawaamuru CDF Jenerali Mkunda na IGP Wambura kuja kutoa ushahidi kwenye kesi hii ya Uhaini. Kama wakuu wa majeshi na polisi wanaenda kukutana na dhoruba ileile ya maswali ya mtego kizimbani, maana yake sheria haichagui sura wala aina ya kesi.
Unawezaje kujiita Dr? Kwa upuuzi wa aina hii uliyo andika!!Sikuelewa kwa nini Lissu na Katuga kila mara walikuwa wanakumbushana kuwa mahakama siyo mama yako mpaka siku Heche alipoanza kufanyiwa cross examination.
Heche huyu huyu aliyetoa ushahidi ulioonekana kuwa na taarifa nyingi za kila uonezi aliodai CHADEMA wanafanyiwa kaishia kudogodeshwa na Katuga mbele ya mahakama kwa kujithibisha yeye mwenyewe kuwa anadanganya kuhusu mali zake na huwa anaingiziwa mapesa kwenye account yake ambayo wenzake wa CHADEMA hawajui!
Kiukweli kwa hiki kilichompata Heche, niko pale nasubiri kuona kama CDF, IGP na DCI wataenda mahakamani. Waswahili husema mwenzako akinyolewa zako tia maji.
In fact,
amedogoshwa mno na Katuga,
In fact,
huenda ana pitia msongo mkali sana wa mawazo hivi sasa, hasa akitafakari alichopitia kizimbani.
hii wiki yote anaweza asibeti kabisa 🐒
kwamba unamaanisha huyu hapa chini ni mwendawazimu au?🐒Ni mwendawazimu pekee anayeweza kuamini kuwa ete hayawani katuga alimdogosha Heche. Yale maswali ya benki dhidi ya Heche, yalikuwa ni maswali ya kipumbavu kutoka kwa mtu mwenye akili ndogo aliyejaa uovu. Yale ni maswali ya kiwendawazimu kutoka kwa hayawani baada ya kukosa maswali ya msingi.
Fikiria yule mwendawazimu alifikia hatua ya kuuliza kuhusu magari ya Heche! Magari yalikuwa yanahusianaje na kesi dhidi ya Lisu?
Huyo ni wale wa elimu za hapa na pale,kichwani ni empty.Hivi shule ukienda kusomea ujinga? Unamsifia Katuga ambaye amejigeuza Juma Lokole kwa kuleta udaku mahamani.
Kweli kabisa,Uhaini umeonekana kuwa kitu Cha kawaida sana!Ulitaka Heche ahutubie kizimbani?
Tanzania ndii mara ya kwanza kesi ya uhainu nasikia mtu anaulizwa kuhusu jezi yake ya Arsenal , kadi ya gari na trekta.
Kesi ya uhaini kwingineko tunasikia wanajeshi , mamluki, depot za mabomu , bunduki na risasi , ramani za ikulu , jeshi , bunge majengo ya nishati na maji.
Hii kesi imepoteza uhalisia mnampotezea Lissu muda tu.
Wengi ya wanaotanguliza "dr" ni wale ambao wana uwezo mdogo (kiakili na ni masikini sana, kiuweledi na kiutendaji pamoja na kuwa hovyo kimuonekano), wanataka kujisawazisha mapungufu hayo yao na u "dakta".Mtu wa hovyo kabisa wewe. Rudi usome kesi ya uhaini ya akina ''Uncle'' Tom na wale mawakili kama Murtaza Lakha huku serikali ikiwa na wanasheria wa ukweli kama William Sekule chini ya jaji wa ukweli Nassoro Mzavas. Hapo ndipo unajifunza sheria na vipengele vyake na siyo hawa vilaza wenzako kina Katuga ambao hata kiingereza kinawapiga chenga. Bure wewe na akili zako ni kama za Samia. Sijui ni kwa nini ukishaona lijitu linalopenda kutanguliza ''dr'' kwenye jina ni lazima liwe bure kabisa kichwani.
Hao hawawezi kwendaSikuelewa kwa nini Lissu na Katuga kila mara walikuwa wanakumbushana kuwa mahakama siyo mama yako mpaka siku Heche alipoanza kufanyiwa cross examination.
Heche huyu huyu aliyetoa ushahidi ulioonekana kuwa na taarifa nyingi za kila uonezi aliodai CHADEMA wanafanyiwa kaishia kudogodeshwa na Katuga mbele ya mahakama kwa kujithibisha yeye mwenyewe kuwa anadanganya kuhusu mali zake na huwa anaingiziwa mapesa kwenye account yake ambayo wenzake wa CHADEMA hawajui!
Kiukweli kwa hiki kilichompata Heche, niko pale nasubiri kuona kama CDF, IGP na DCI wataenda mahakamani. Waswahili husema mwenzako akinyolewa zako tia maji.
Hata huku mitandaoni anatakiwa kuboresha vyanzo vyake vya taarifa ili asiwe anatoa boko.Heche kwa pale Mahakamani hana ujanja, anajimudu akiwa mitaani majukwaani tu
Kweli kabisa,Uhaini umeonekana kuwa kitu Cha kawaida sana!
ilikuwa ni nadra sana kusikia kesi ya Uhaini!
Halafu kesi inahusu uhaini, But ikageuzwa kam heche ndo anashotakiwa. Tuseme kwa maswali ya katuga kuhusu Magari ya Heche ndo yanathibitisha Lissu ni Mhaini?Katuga katoa shutuma dhidi ya Heche, ambaye hakuwa mjibu mashtaka.
Na katika hizo shutuma alizotoa hajathibitisha hata moja; sasa Heche atahangaika vipi?
Waitu mushanage!🖐️🖐️🖐️🖐️Heche kwa pale Mahakamani hana ujanja, anajimudu akiwa mitaani majukwaani tu
Mali zimeingiaje apoSikuelewa kwa nini Lissu na Katuga kila mara walikuwa wanakumbushana kuwa mahakama siyo mama yako mpaka siku Heche alipoanza kufanyiwa cross examination.