Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 4,675
- 6,428
Alafu unajita Dr.Sikuelewa kwa nini Lissu na Katuga kila mara walikuwa wanakumbushana kuwa mahakama siyo mama yako mpaka siku Heche alipoanza kufanyiwa cross examination.
Heche huyu huyu aliyetoa ushahidi ulioonekana kuwa na taarifa nyingi za kila uonezi aliodai CHADEMA wanafanyiwa kaishia kudogodeshwa na Katuga mbele ya mahakama kwa kujithibisha yeye mwenyewe kuwa anadanganya kuhusu mali zake na huwa anaingiziwa mapesa kwenye account yake ambayo wenzake wa CHADEMA hawajui!
Kiukweli kwa hiki kilichompata Heche, niko pale nasubiri kuona kama CDF, IGP na DCI wataenda mahakamani. Waswahili husema mwenzako akinyolewa zako tia maji.
Akili walimkabidhi Mzee Wassira,,hivyo vijana na wanachama wa chama kile uwezo wa kufikiria mambo mazito hawana,labda huyo Mzee atamke ni nini wafanye.sijaona chochote cha maana kwa katuga
watu wamehudhulia mahakaman kuskiliza kesi ya msingi inayomkabili mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu
lakini cha kuskitisha wakili wa serikali baada ya kuuliza maswali kuhusiana na ile kesi ambayo ni UHAINI
Ana base kuuliza maisha binafs ya mtu halaf bado tu machawa wanamsifia
wakili unamuuliza shahid jina la John umelipataje
umesoma sijui shule gan
una magar mangapi
ili milion 20 iiyoingia kwenye acc yako imetoka kwa nani
unajua kama mahakama si mama yako
sasa ebu tuelezane ukweli hayo maswali yana uhusiano gani na ile kesi ya msingi?
lakin bado machawa hapo wanampamba katuga kwa maswali ya kijinga namna hiyo
Hili zombie bora lisingezaliwa, ni hasara ya jumla..sasa fikiria na Lissu angekuwa na taarifa za akaunti za benki za Mama Abduli, na wote wanaomnyanyasa ingekuwaje.
..alichofanya Katuga hakikupaswa kufanyika mahakamani. Kitendo kile kimeinajisi mahakama na ofisi ya muendesha mashtaka.
..Na ukiona muendesha mashtaka amefanya kile alichofanya Katuga ujue kwamba hana kesi. Watoto wa mjini wanasema, " amekata pumzi. "
Katuga ni mbumbumbu nawashangaa kuna siku nilimsindikiza rafiki yangu sehemu duh kumbe nakwenda kwa mama yake katuga akasema jamani waambieni vijana waaache kumtukna mtoto wake aliongea sana
Sasa je kwanini heche akadanganya kuhusu idadi ya magari anayomiliki?..ndio maana Katuga alipoleta video Heche akamjibu kuwa ni "AI."
..Na Katuga akashindwa kuendelea na maswali yake.
..Na mahakama haikujielekeza kutafuta nani ni mkweli kati ya Katuga, na Heche.
..Kitu ambacho watu hawajui ni kwamba mahakamani kuna taratibu za kutumia ushahidi [ vielelezo ]uwe wa maandishi, video, au kitu kingine.
..Kama taarifa kuhusu miamala ya John Heche zingekuwa na uzito ktk shauri basi zingetumika taratibu za kimahakama kupata taarifa hizo.
Utafute huo udaktari uwe nao kwanza ndio uwabeze wenye nao. Sio ww mwenyewe pangu pakavu halafu unabeza taaluma za watu.Wengi ya wanaotanguliza "dr" ni wale ambao wana uwezo mdogo (kiakili na ni masikini sana, kiuweledi na kiutendaji pamoja na kuwa hovyo kimuonekano), wanataka kujisawazisha mapungufu hayo yao na u "dakta".
We na wewe Zezeta.Sasa je kwanini heche akadanganya kuhusu idadi ya magari anayomiliki?
Sawa mkuu ila mimi nimeuliza tu nipate kujuaWe na wewe Zezeta.
Ingekuwa nchi nyingine hiyo kesi Ingekataliwa mahakamani.
KWA UONGO.
SELIKALI UONGO.
MAHAKAMA INAPOKEA KESI YA UONGO.
POLISI WOTE NA JESHI NI UONGO MTUPU.
UHAINI UNAHUSIANA NINI NA
Jersey ya Arsenal.
Hotel za Dubai.
Kuingiziwa Milioni 20
Magari kwa mtu aliyekaa bungeni na Mfanyabiashara.
WEWE NI BWEGE SANA.
Mimi sikuamini macho yangu.Alikuwa kama panya aliyemwagiwa maji.Sikuelewa kwa nini Lissu na Katuga kila mara walikuwa wanakumbushana kuwa mahakama siyo mama yako mpaka siku Heche alipoanza kufanyiwa cross examination.
Heche huyu huyu aliyetoa ushahidi ulioonekana kuwa na taarifa nyingi za kila uonezi aliodai CHADEMA wanafanyiwa kaishia kudogodeshwa na Katuga mbele ya mahakama kwa kujithibisha yeye mwenyewe kuwa anadanganya kuhusu mali zake na huwa anaingiziwa mapesa kwenye account yake ambayo wenzake wa CHADEMA hawajui!
Kiukweli kwa hiki kilichompata Heche, niko pale nasubiri kuona kama CDF, IGP na DCI wataenda mahakamani. Waswahili husema mwenzako akinyolewa zako tia maji.
Huko siko kudogoshwa bali ni ujinga wa Katuga kushangaa John Heche kumiliki gari tu la 110,000,000 kwa kudhani kuwa hastahili kwa kuwa wanaostahili ni wao tu huko CCM kwa pesa za wizi na ufisadi wa umwagaji wa damu!Heche huyu huyu aliyetoa ushahidi ulioonekana kuwa na taarifa nyingi za kila uonezi aliodai CHADEMA wanafanyiwa kaishia kudogodeshwa na Katuga mbele ya mahakama
Wewe fala kweli.🤪kwa kujithibisha yeye mwenyewe kuwa anadanganya kuhusu mali zake na huwa anaingiziwa mapesa kwenye account yake ambayo wenzake wa CHADEMA hawajui!
Contradiction...Kiukweli kwa hiki kilichompata Heche, niko pale nasubiri kuona kama CDF, IGP na DCI wataenda mahakamani. Waswahili husema mwenzako akinyolewa zako tia maji.
Imagine huyu ni Dokta kabisa..Huko siko kudogoshwa bali ni ujinga wa Katuga kushangaa John Heche kumiliki gari tu la 110,000,000 kwa kudhani kuwa hastahili kwa kuwa wanaostahili ni wao tu huko CCM kwa pesa za wizi na ufisadi wa umwagaji wa damu!
Wewe fala kweli.🤪
Wewe mwenyewe umesema ni "Akaunti yake binafsi" lakini unataka wengine wajue mambo ya John Heche binafsi. Yanatuhusu nini sisi? Mkisema ameiba, basi mnapaswa kuthibitisha hilo ndipo tuwaelewe...
Otherwise, everything presented there is completely nosense in Tlaatlaah's voice👺👹
Au wewe pesa zako zinazoingizwa kwenye Akaunti yako binafsi ya Benki kwa shughuli zako au vyanzo binafsi ni lazima rafiki na jirani zako wajue?
Kama huyo Katuga wako angesema kuwa John Heche hizo pesa ni za wizi, kidogo tungeelewa. Lakini kumbe ilikuwa ni kupiga siasa uchwara tu za CCM mahakamani badala athibitishe kosa ya uhaini la Tundu Lissu...
Contradiction...
Why? Kwa sbb wewe Dr Adam Francis ni masikini wa akili na ufahamu kwa kuwa hata hujui wanakwenda kwa ajili ya nini na hata hujui kwanini wameanza kupiga chenga kwa sbb za kitoto na kijinga kabisa...
Ni kama unadhani wanaenda kuthibitisha kuwa magari ya John Heche ni ya wizi...!!!
What you've to understand ni kuwa ruling ya mahakama ni wao "LAZIMA" wafike mahakamani kutoa ushahidi in the favour of the defence side simply because ushahidi wao ni muhimu na relevant...
BTW na kwa taarifa yako ni kuwa, la wasipotaka kwenda kwa hiari, wataburuzwa kwa nguvu na kuingia ktk jinai ya "contempt of the court of law"
Waambieni wawe makini...
Wao ni viongozi wakubwa sana serikalini na custodian wa utawala wa sheria...
Kudharau wito wa mahakama itakuwa disaster kwao...
Waambieni waache kujificha, waliyataka wao basi wakabiliane nayo bila woga...
La, wanaona aibu, watupe taulo ulingoni, tumalize game tuendelee na maisha...
Na watii sheria na katiba. Waende mahakamani wakajibu maswali ya Tundu Lissu...
Sasa je kwanini heche akadanganya kuhusu idadi ya magari anayomiliki?
Maana ya Heche kudanganya kuhusu mali, ni kuwa yeye Heche ni muongo na ushahidi wake hauwezi kuaminika kwakuwa anasema uongo hata akiwa chini ya kiapo...Watanzania tuna utamaduni wa kuficha mali.
..Na kuna utamaduni wa kuchukia yeyote mwenye mali.
..Tukirudi kwenye kesi, mali za Heche hazina uhusiano wowote na mashtaka dhidi ya Lissu.
..Majaji wataangalia kama Heche kudanganya kuhusu mali zake ni jambo lenye uzito kiasi cha kuwalazimisha watupilie mbali ushahidi wake wote.
..Au Majaji wanaweza kuamua kwamba Heche amedanganya kuhusu mali zake lakini ushahidi alioutoa ni wa kweli na unapaswa kuzingatiwa.
Mali za Heche regardless alizipataje, zinadhibitisha uhaini wa Lissu?Sikuelewa kwa nini Lissu na Katuga kila mara walikuwa wanakumbushana kuwa mahakama siyo mama yako mpaka siku Heche alipoanza kufanyiwa cross examination.
Heche huyu huyu aliyetoa ushahidi ulioonekana kuwa na taarifa nyingi za kila uonezi aliodai CHADEMA wanafanyiwa kaishia kudogodeshwa na Katuga mbele ya mahakama kwa kujithibisha yeye mwenyewe kuwa anadanganya kuhusu mali zake na huwa anaingiziwa mapesa kwenye account yake ambayo wenzake wa CHADEMA hawajui!
Kiukweli kwa hiki kilichompata Heche, niko pale nasubiri kuona kama CDF, IGP na DCI wataenda mahakamani. Waswahili husema mwenzako akinyolewa zako tia maji.
Kwa hiyo alivunja sheria?Ni mwendawazimu pekee anayeweza kuamini kuwa ete hayawani katuga alimdogosha Heche. Yale maswali ya benki dhidi ya Heche, yalikuwa ni maswali ya kipumbavu kutoka kwa mtu mwenye akili ndogo aliyejaa uovu. Yale ni maswali ya kiwendawazimu kutoka kwa hayawani baada ya kukosa maswali ya msingi.
Fikiria yule mwendawazimu alifikia hatua ya kuuliza kuhusu magari ya Heche! Magari yalikuwa yanahusianaje na kesi dhidi ya Lisu?