Kilicho mpata Heche kimethibitisha mahakama siyo mama yako!

Wewe kilaza hivi unajua kusoma na kuelewa kwa ufahamu au unasoma kama mnavyoongea vijiwe vya kahawa
Umeelewa mtoa anaongelea nini kuhusu hii kesi hasa upande wa heche?
Leta hapa uelewo wako kwanza maana naona nampigia gitaa mbuzi
 
Yaani hii case ina maajabu sana, uhaini unafanyika mtu yuko gerezani, wala hana kikundi wezeshi, wala vifaa tumika kwenye uhaini wenyewe,
Duuuh.
 

falsus in uno, falsus in omnibus
 
Mtizamo wako ni batili acha kutumia propaganda za katuga ukazani utapata uteuzi, Heche alisimama vizuri alijibu vizuri maswali ya bush Loyer wakili kanjanja katuga licha ya kwenda kufanya Udukuzi wa Account zake bank
 
..Cdf,Igp, na Dci, wataulizwa wanavyomfahamu TL.

..Na kila mmoja kuna swali ambalo ataulizwa litamfanya awe sawa na nzi aliyenaswa kwenye utando wa buibui.
Hakuna swali la maana liliulizwa na bush Loyer katuga zaidi ya kufanya ujinga kwenda kudukua Account ya Heche kienyeji wakati heche hajaenda kutaka Account ya katuga na majaji wake
 
Account za katuga Mawakili wenzake na majaji ziletwe kwanza ndipo mje na nguvu ya kuongea chochote juu ya heche
 
Kesi iliyopo mahakamani ni ya Uongo imetengenezwa na katuga kwa uongo anza na Uongo wa katuga kwanza, mwambie ataje mali zake, alete account za majaji na mawakili wenzake kwanza anzia hapo kwa huyo bush Loyer kanjanja kabla ya chochote
 

Duh
 
Yaani hii case ina maajabu sana, uhaini unafanyika mtu yuko gerezani, wala hana kikundi wezeshi, wala vifaa tumika kwenye uhaini wenyewe,
Duuuh.
Katuga ni shetani mkubwa ana Roho mbaya sana, kitendo cha kumtengenezea Lisu kesi ya Uongo ni ushetani wa kutisha sana
 
Mbona umeandika uzi huu kama vile mahakama ni mama yako mkuu?
 
Masuala ya kesi ni sawa, lakini kwa nafasi yake ya kiongozi wa chama na yale mambo ya pesa kwenye akaunti yake asijue zolipotoka - hapana.
Mambo ya pesa kwenye akaunti yake (kama yapo kweli) ni swala lake na nafasi yake ya uongozi na anaowaongoza na watakaotaka kuongozwa naye kulimaliza yeye mwenyewe na hao watu wengine anaotaka wasihoji uaminifu wake kwao.

Kinachohojiwa hapa ni kwa nini iwe fimbo ya kuitumia kuvuruga chama kupitia mikononi mwa watu ndani ya chama hicho hicho.
 
Wewe kilaza hivi unajua kusoma na kuelewa kwa ufahamu au unasoma kama mnavyoongea vijiwe vya kahawa
Umeelewa mtoa anaongelea nini kuhusu hii kesi hasa upande wa heche?
Leta hapa uelewo wako kwanza maana naona nampigia gitaa mbuzi
Kwani wewe na huyo mleta mada mmekuwa na akili toka lini, mbona wote ni kundi lilelile moja; kundi la nguruwe anaowafuga Samia na kuwatumia kufanya maovu kwa waTanzania!

Wewe umeona hoja yoyote ya maana kwenye hiyo mada ya kipuuzi kabisa?
 
Heche ni kiongozi wa chama cha umma, suala la uadilifu wake sio kati yake binafsi na wale anaowaongoza, unless Chadema wawe hawana mpango wa kushika dola, something which i don't think so.

▪ Unapoandika Chadema waachiwe chama chao umenishangaza, kwa member wa aina yako na experience yako humu ndani!.

• Ina maana bado hujui chama cha siasa ni mali ya umma?!

Ulichoandika hapo juu simply ni kufumbia macho makosa ya Chadema, lakini yakija kutokea CCM kila siku tunakuwa wepesi kuwanyooshea vidole, sipendi hicho kitu.

Mnakichukulia Chadema kama chama kilichojengwa kwa misingi ya maneno ya mitandaoni, ndio maana mnaogopa viongozi wake wanapokosolewa.

Nashangaa sana chama chenye miaka zaidi ya 30 wafuasi wake kutetemeka pale viongozi wao wanapotakiwa kuwajibika, ajabu kabisa, lazima mbadilike ili kuijenga Tanzania bora mbele ya safari.
 
Subiri uone utakavyojibiwa ujinga ujinga tu
Huyu sijui hata kama amesoma mpaka form 4 , ana uwezo mdogo sana kama mtoto wa darasa la 7 kujenga hoja halafu yuko humu tokea 19kweusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…