Kilichofanya Tundu Lissu apigwe risasi hadharani hiki hapa

KU
Kuna mahali habari yako imeacha ufa unaopelekea isiaminike ipitie upya uone.
 
U-sadisti wake
Kuna ngoma nzito zaidi ya hiyo.

Alipitiliza mipaka, akaingia kwenye "territory" ambayo haiingiliki, ikabidi mama atumie hekima kubwa ya hali ya juu kuweka mambo sawa. Unafikiri Maalim Seif Sharrif na Lipumba walienda Chato kumtembelea tu?

Subiri wajuzi wafunguke.
 
Nakuaminia bibi yetu, japo tunatofautiana itikadi kisiasa lakin kuna pande flan hivi nakukubaligi kiaina.
 
Hadithi yako inatufundisha nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…