Kilichoitokea Dortumund kitatokea Yanga kesho

Kwenye mpira chochote kinawezekana lakini hiyo ya kutufananisha na fulani umechemka Mkuu.

Yanga ni Yanga na Dortmund ni Dortmund. Huo ndo ukweli.
Pole sana Dada yangu, bila shaka uko salama salimini
 
Siyo Yanga lakini sijaona alipotoa tahadhari zaidi ya kejeli. Huu Usimba na Uyanga wenu unawapunguzia Sana weledi.
Shabiki wa Yangaaa weyeeeeeeeee
Mmelowaaaaaaaaaaaaa mmelowaaaaaaaa
Mmenyeshewa na mvuaaaaaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimeikubali kamati ya Simba Yani mvua tu watu wanalalamika wamesahau walivyocheza na Al monistr walivyowapelekesha Leo wao ndo wanalalamika as if ni wageni na li uwanja lao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…