Kilichoitokea Dortumund kitatokea Yanga kesho

Dortmund walikuwa na 'fainali' yao leo, baada ya kukosa ubingwa kwa miaka 11 wangeshinda leo, wangekuwa mabingwa

Basi wakajaza uwanja "FULL HOUSE" kama Yanga, shangwe nyingi na vifijo, ila wakaambulia patupu

Kwenye maisha kitu ukikipania sana unakikosa sababu ya presha na paniki
Upewe maua yako tu
 
Mkuu ulijuaje au wewe ni nabii yule?
 
Back
Top Bottom