Kilichomkuta zuchu ndio tofauti ya wanyakyusa na makabila mengine

Kilichomkuta zuchu ndio tofauti ya wanyakyusa na makabila mengine

We fala acha kuzungumzia makabila ya watu basi, hayo mambo yenu ya wanyakyusa haujaulizwa,hao wahehe na wabena hawapendi dharau hata kidogo ndiomaana wanareact hivyo,nyie wanyakyusa mnatuzidi sifa tu ila hamna jambo lolote la maana mtakalotuzidi,na haka kambeya kenu tutakatawala kiuchumi kwenye Kila sekta,fala mmoja wewe
Mbeya ni ya Wasafwa na Wamalila.
Hao wanyaki na wanyamanyafu kwao ni Rungwe na Kyela.
 
Wahehe na wabena Wana pesa wanatoa wapi sasa , aisee mimi Nimezaliwa hapa jombe ujue
Bila kusahau nyanda za juu kusini wanyakyusa ndio wanaoongoza Kwa ukabila na kuvimba,jambo zuri wanyakyusa hamna hela nyie ni tantalila nyingi,mngetuzidi maisha aiseh tusingekunywa maji,hii mada aliyeleta mtoa mada ni mwendelezo wao wa ubaguzi na kusengenya watu.
 
Labda unitajie mhehe mmoja tu mwenye Hela huku nyanda za juu kusini, jombe na iringa naijua vyema na nafanya biashara since enzi hizo , hebu nitajie mhehe na mbena mwenye mafanikio , hapa wenye mafanikio ya kiuchumi ni wajomba zangu wakinga na hawana roho ya kishamba kama ya kihehe
Endelea kuajiri wanyakyusa ambao huwa wanaridhika mapema na hela ndogondogo hao wengne wanaotaka hela nyingi wafanye biashara zao sio kuajiliwa kishambasham
 
Mimi ni myakyusa kiasili baba yangu myakyusa na mama mkinga, katika kuishi na kukua sasa nimejifunza jambo hili kwa wanyakyusa ni watu wenye upendo sana ukionyesha utu kwao na watu wenye dharau sana ukionyesha unawadharau,. Nilikuwa naona ndugu wa marehemu baba Moja ya ugomvi mkubwa ni pale mzee alipowaonyesha dharau walimbadilkia mno hadi alipotoka jombe na kwenda kuwaomba msamaha na pale alipowaomba msamaha walikuwa wanampa ushirikiano sana na upendo. Ni kawaida ndugu atoke mbeya kuja kuwasalimu kisa tu akisikia ulikuwa unaumwa na ulilazwa, panakutokea shida wanaichukua kama Yao kabisa. hili ni tofauti Sana na watu wa iringa hapa nawasema wahehe na wabena ( sijui waliumbwa na roho gani hawa watu hawana shukurani na Wana roho mbaya sana,ndio nimeishi nao jombe na kukua nao hawa jamaa anaweza weka kisasi kwa tukuio la kijinga hata miaka 20, umsaidie vip hawana appreciation, kama unaowafahamu vyema wahehe na wabena weka ushahidi hapa. Nimewahi kutana na kisa Cha mfanyabiashara wamesusia biashara yake kisa amewahi kuwaonyesha dharau mwanzoni alipojiona ni star alipofungua biashara. Nazani zuchu hakuelewa ni wazi mbeya Samia na CCM hawana mvuto huko na Ile kuwaita wahuni nazani ndio kimefanya waharibu nb binafsi sijapenda walichomfanyia mtoto mdogo wa kike
Hakuna cha ajabu hapa ulichokiandika hata mchawi ukimuheshimu atakueshimu na ukimletea za kuleta nae anakuletea tu,wanyakyusa mnapenda sana kujisifia ukarimu wakati ni wanafiki tu kama wengine tu weusi
 
Wanyakyusa hatuna shida kabisa ni vile tu wewe unavyotuchukulia vibaya.Chunguza sana,matukio mengi ya mauaji Wanyakyusa hatumo kabisa....haya mnataka msikie Nini kingine....kama ni umalaya makabila yote kuko wazi chini....kiburi ni kwa Kila mtu...we kumbuka tu mpenzi aliyekushinda kwa kiburi chake je ni mnyakyusa? Tabia ni mtu mwenyewe
 
Umemtoa mfano wa wahehe kumsusia mtu biashara baada ya kujiona star wakati anafungua hiyo biashara. Na kwamba hiyo inakuanesha wahehe wana roho mbaya.

Sikia, wahehe hawatakagi kabisa dharau, ndio maana ya ile kauli ya "ndimgaya sida"

Mhehe ukijifanya wewe ni spesho sana anakupuuza kisha anaendelea na mishe zake.

Kuhusu wanyakyusa, labda huwajui kwakuwa wewe mwenyewe ni mnyakyusa, ila hilo kabila ni washenzi, wakabila na wana roho mbaya sana.

Kwanza wanapenda sana kusengenya na kusingizia, pili mkiwa sehemu mnyakyusa anapenda awe juu ya wengine, ukimzidi atakupiga majungu hadi ukome huku akijificha kwenye kichaka cha mwanamaombi sana.

Kingine ukioa mnyakyusa utakiona cha moto. Chunguza wanawake wengi wa kinyakyusa ama ameachika au single mother.
Hapo kwenye ukabila na roho mbaya

Hapo kwenye roho mbaya na ukabila umepatia kabisa,ongeza na ubinafsi pia halafu na kujisifia kwamba ni wakarimu unafiki mtupu
 
Mimi ni myakyusa kiasili baba yangu myakyusa na mama mkinga, katika kuishi na kukua sasa nimejifunza jambo hili kwa wanyakyusa ni watu wenye upendo sana ukionyesha utu kwao na watu wenye dharau sana ukionyesha unawadharau,. Nilikuwa naona ndugu wa marehemu baba Moja ya ugomvi mkubwa ni pale mzee alipowaonyesha dharau walimbadilkia mno hadi alipotoka jombe na kwenda kuwaomba msamaha na pale alipowaomba msamaha walikuwa wanampa ushirikiano sana na upendo. Ni kawaida ndugu atoke mbeya kuja kuwasalimu kisa tu akisikia ulikuwa unaumwa na ulilazwa, panakutokea shida wanaichukua kama Yao kabisa. hili ni tofauti Sana na watu wa iringa hapa nawasema wahehe na wabena ( sijui waliumbwa na roho gani hawa watu hawana shukurani na Wana roho mbaya sana,ndio nimeishi nao jombe na kukua nao hawa jamaa anaweza weka kisasi kwa tukuio la kijinga hata miaka 20, umsaidie vip hawana appreciation, kama unaowafahamu vyema wahehe na wabena weka ushahidi hapa. Nimewahi kutana na kisa Cha mfanyabiashara wamesusia biashara yake kisa amewahi kuwaonyesha dharau mwanzoni alipojiona ni star alipofungua biashara. Nazani zuchu hakuelewa ni wazi mbeya Samia na CCM hawana mvuto huko na Ile kuwaita wahuni nazani ndio kimefanya waharibu nb binafsi sijapenda walichomfanyia mtoto mdogo wa kike
Bora wenye roho mbaya kuliko hao viburi na superiority.

Kwenye makanisa huko wanatawala wengine waliokubali kuwa submissive ,Sasa Mimi siwezi ishu na watu wa.dizaini hiyo.

Hao unaposema Wana roho mbaya mara nyingi hawapendi kufuatilia maisha ya watu wala.ku mind ishunza kipumbavu ila ukiwatenda utakuja kulipa na hapa nawapa kongole Ndugu zangu wabena,wakinga na Wahehe maana Huwa hatusahau.
 
Ukiacha habari za unyakyusa. WCB Wanazingua kuchanganya biashara yao na CCM.

Hatukatai, boss anaweza kua na chama chake pendwa, lkn watu wamelipia kuja kuona burudani tena wa Vyama vyote, Ww unafika jukwaani unaanza mitano tena, sijui mama, sijui tulia wtf iz wrong with you!

Mbona wakiitwa kwenye matamasha ya Tulia, wana hudhuria na kupewa support full. Hawajiulizi kwann kwenye hili?

Mbaya zaidi mtoto wa kike akapanic na kuleta kiburi zaidi kutaka kubishana na alike kitu ambacho ni usenge, bale ilitakiwa asome upepo na abadirike kuufuata hata kwa kusema chadema oyeee ya kinafki angesepa na kile kijiji

Hii trick ya pili JPM mwenyewe aliitumia, siku walimzuia barabarani na kumlazimisha kusema peoples....., akagoma goma lkn mwishoe alisema peoples.... cloud yote ikatulia na kumsikiliza na kumruhusu apite
Mbeya noma😂😂
 
Wewe ndio mwenye roho mbaya sasa!

Mhehe hatakagi ujinga wa kumnyenyekea mtu.

Sasa kwakuwa nyie wanyakyusa mnapenda kuabudiwa na kutaka kuwa juu ya kila mtu ndio maana unaona Wahehe wana roho mbaya sababu hawawezi ku entertain huo ujinga.

Nyie hata wanawake zenu naweza wenyewe tu maana wanapenda kuwa watawala
Hata Mimi biashara ya kusujudu mtu na kujifanya mjuaji kama mnyaki siwezi ishi nao Wala siwezi ona wanawake zao Majungu na dherau nyingi sana.

Ukabila ndio nyumbani kwao sasa 😀😀
 
Nakubaliana na maudhui ya mada.
Wengi wanashindwa kuwaelewa wanyakyusa.
Ukimdharau umepata adui.

Mwakyembe mwenyewe aliwadharau wapiga kura wake kuwa eti yeye amesoma na ana degree nne ikiwemo ya uzamivu, na amefundisha vyuo vingi hata nje ya nchi.
Wale wakulima wakamwambia "ndagha baba"
Na wakampiga chini kisawaswa hata kama aliwajengea barabara!
Hao ndio wanyakyusa ninao wafahamu, ila ukiomba radhi yaishe, haraka sana wanasamehe.
Na baada ya kuomba msamaha alivuka mto kiwila kwa mgongo wa mamba akijua dalaja saa 6 za usiku kumbe ulikuwa mgongo wa mamba😂😂
 
Nna jamaa zangu wanyakyusa kibao,wameoa dada zao wanyakyusa,kinachoendelea mpaka wao wenyewe wanashauri mtu asioe kabila lao,wanyakyusa kwenye unyenyekevu hawapo ila unafiki na superiority complex,wabena na wahehe ni watu wanamind their own business,nafikiri hicho ndio kinachomuuma jamaa kuona hapewi attention na hao watu wala hawaabudu watu
Jamaa anakwambia wahehe na wabena ni roho mbaya wakati hao hao ndio walezi Wakuu wa familia huko Dar na pia kwenye biashara nyingi wapo kamawasaidizi.

Umuweke mnyakyusa una akili timamu? Uone mnyakyusa zinakutosha? 😂😂
 
Nakubaliana na maudhui ya mada.
Wengi wanashindwa kuwaelewa wanyakyusa.
Ukimdharau umepata adui.

Mwakyembe mwenyewe aliwadharau wapiga kura wake kuwa eti yeye amesoma na ana degree nne ikiwemo ya uzamivu, na amefundisha vyuo vingi hata nje ya nchi.
Wale wakulima wakamwambia "ndagha baba"
Na wakampiga chini kisawaswa hata kama aliwajengea barabara!
Hao ndio wanyakyusa ninao wafahamu, ila ukiomba radhi yaishe, haraka sana wanasamehe.
Wakamchagua darasa la saba awashikie kwa muda
 
Labda unitajie mhehe mmoja tu mwenye Hela huku nyanda za juu kusini, jombe na iringa naijua vyema na nafanya biashara since enzi hizo , hebu nitajie mhehe na mbena mwenye mafanikio , hapa wenye mafanikio ya kiuchumi ni wajomba zangu wakinga na hawana roho ya kishamba kama ya kihehe
Kalinga Agrivet company hana pesa? Ndambo Je?
 
Back
Top Bottom